Lies that women tell each other

LOVE TIPS ❤ Some girlfriends give a woman the worst advice. These are some of them

Muhammad Mukhbar Rais wa mpito Iran

NYOTA WETU Makamu wa Rais wa Iran, Muhammad Mukhbar anajiandaa kuiongoza Iran ndani ya kipindi cha mpito, ambapo kwa sasa anasubiri kuthibitishwa na Kiongozi Mkuu wa Taifa hilo Ayatollah Ali Khamenei. Mukhbar anachukua jukumu hilo kufuatia kifo cha Rais Ebrahim Raisi wa Iran kilichotokea baada ya helikopta iliyombeba kuanguka katika eneo la Kaskazini Magharibi mwa… Continue reading Muhammad Mukhbar Rais wa mpito Iran

RAIS WA IRAN IBRAHIMU RAISI ATHIBITIKA KUFARIKI KWENYE AJALI YA HELIKOPTA

HABARI KUU Taarifa iliyotolewa na kituo cha Televisheni cha Serikali ya Iran zimesema hakuna dalili za watu kuwa hai kufuatia kuanguka kwa helikopta iliyombeba Rais wa nchi hiyo Ebrahim Raisi pamoja na Waziri wa Mambo ya Nje wa nchi hiyo IHossein Amir-Abdollahian. Awali ilielezwa kuwepo kwa hali mbaya ya hewa ukiwepo ukungu mwingi katika eneo… Continue reading RAIS WA IRAN IBRAHIMU RAISI ATHIBITIKA KUFARIKI KWENYE AJALI YA HELIKOPTA

Chelsea fans react as Brighton announce Roberto De Zerbi exit

SPORTS Brighton have announced that Roberto De Zerbi is leaving his role as head coach after the end of this season. Despite a dip in results this season, De Zerbi is rated positively across Europe, with several top clubs linked with him in previous months. One of them was Chelsea who are still to confirm… Continue reading Chelsea fans react as Brighton announce Roberto De Zerbi exit

HOW TO KEEP PRIVACY IN A MARRIAGE

LOVE TIPS ❤

Mitandao ya Netblocks na CloudflareRadar inayohusika na ufuatiliaji wa Huduma za Intaneti na Usalama Mtandaoni imesema baadhi ya Nchi Barani Afrika zimepatwa na tatizo la kukatika kwa Huduma za Intaneti, sababu ikidaiwa ni kukatika kwa nyaya katika Mkongo wa Mawasiliano wa Baharini

Baadhi ya Nchi zilizoripoti kupata shida kwenye mawasiliano ni Tanzania, IvoryCoast ambayo imeripoti kushuka kwa ubora kwa Intaneti hadi 4%, Benin 14% na Ghana kwa 25% huku nchi nyingine zilizopata shida zikiwa ni Afrika Kusini, Nigeria, Liberia, na Burkina Faso

Nchini Tanzania, Mtandao wa Vodacom umekiri kutokea kwa tatizo lililoathiri huduma za M-PESA, Kupiga na Kupokea Simu. Pia, Serikali za Nigeria na Liberia zimesema zimebaini uwepo wa tatizo la Intaneti.

RONALDO AMFUKUZISHA KAZI GAVANA

MICHEZO Gavana wa Nagasaki,Kengo Oishi,ametakiwa ajiuzulu baada ya kukosa kuhudhuria mkutano wa Magavana wa Japan baada ya kwenda kutazama mechi ambayo ilimhusisha Cristiano Ronaldo. Oishi, ambaye alitumia fedha zake mwenyewe kununua tiketi ya mechi lakini gharama za usafiri na malazi zililipwa na Serikali, alihudhuria mechi ya kirafiki kati ya Al Nassr na Paris Saint-germain iliyochezwa… Continue reading RONALDO AMFUKUZISHA KAZI GAVANA

HIZI NDIZO SABABU ZA IRAN KUMPA RONALDO SIMU

Michezo Iran inataka kumpa laini ya simu ,Cristiano Ronaldo na wachezaji wengine wa soka wa kigeni ili kuwawezesha kutumia mtandao bila vikwazo watakapokuwa Tehran,huduma ambayo raia wa kawaida wa Iran hawawezi kufanya jambo linaloelezwa kuwakasirisha baadhi ya Wairan. Reza Darvish ,Rais wa Persepolis FC, klabu ya kandanda ambayo itamenyana na Al Nassr ya Ronaldo katika… Continue reading HIZI NDIZO SABABU ZA IRAN KUMPA RONALDO SIMU

Please disable your adblocker or whitelist this site!

         banner