JACOB ZUMA ANUSURIKA KUFA

HABARI KUU Rais wa zamani wa Afrika Kusini Jacob Zuma (81) amenusurika kwenye ajali ya gari iliyotokea jana jioni katika jimbo la KwaZulu Natal. Katika ajali hiyo mtu mmoja aliyekuwa akiendesha gari huku akiwa amelewa aligongana na gari rasmi la serikali lililokuwa limembeba Zuma pamoja na timu yake rasmi ya ulinzi. Kwa mujibu wa polisi,… Continue reading JACOB ZUMA ANUSURIKA KUFA

Please disable your adblocker or whitelist this site!

         banner