CHANZO CHA KIFO CHA KELVIN KIPTUM

MICHEZO Uchunguzi umebaini kuwa Mwanariadha mwenye rekodi ya Dunia mbio za Marathon nchini Kenya, Kelvin Kiptum, alifariki kutokana na majeraha mabaya kichwani aliyoyapata kwenye ajali ya gari. Maisha ya Mwanariadha huyo yalikatizwa katika ajali ya usiku wa manane karibu na nyumbani kwake Kaskazini-Magharibi mwa Kenya mnamo tarehe 11 Februari, ambapo kocha wake wa Rwanda, Gervais… Continue reading CHANZO CHA KIFO CHA KELVIN KIPTUM

KENYA YATOA TAMKO KUHUSU JUMUIYA YA AFRIKA MASHARIKIDiscoverCars.com

HABARI KUU. Rais William Ruto amepuuzia mbali tetesi za kuwa kuna mgogoro wa kidiplomasia kati ya nchi yake ya Kenya na baadhi ya nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki. Hii imekuja baada ya maadhimisho ya miaka 60 ya Uhuru wa Jamhuri ya Kenya “Jamhuri Day” kutohusisha Marais kutoka nchi zote za Jumuiya ya Afrika Mashariki… Continue reading KENYA YATOA TAMKO KUHUSU JUMUIYA YA AFRIKA MASHARIKIDiscoverCars.com

Please disable your adblocker or whitelist this site!

         banner