RAIS JAVIER MILEI KUWAFUTA KAZI WAFANYAKAZI WA SERIKALI
HABARI KUU Rais Javier Milei amepanga kuwafuta kazi Wafanyakazi wa Serikali 70,000 ambao Mikataba yao inatarajiwa kumalizika hivi karibuni ili kupunguza matumizi ya Serikali. Akizungumza Machi 26, 2024 amesema amepanga…