ROBERTO DE ZERBI KUMRITHI TUCHEL BAYERN MUNICH

MICHEZO Kocha wa klabu ya Brighton, Roberto De Zerbi yupo kwenye mstari wa mbele wa orodha ya makocha wanaopigiwa upatu kuchukua mikoba ya Thomas Tuchel kunako Bayern Munich ikiwa miamba hiyo ya Ujerumani itakosa huduma ya Xabi Alonso wa Bayer Leverkusen. Bayern tayari imefikia maamuzi ya kuachana na Tuchel mwisho wa msimu huu huku ikiendelea… Continue reading ROBERTO DE ZERBI KUMRITHI TUCHEL BAYERN MUNICH

FC BARCELONA KUMUUZA ANSU FATI

MICHEZO Klabu Bingwa nchini Hispania FC Barcelona imesema inatarajia kumuuza mchezaji wake Ansu Fati mwishoni mwa msimu huu. Mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 21 anayekipiga kwa mkopo katika timu ya Brighton ya nchini England, atauzwa mwishoni mwa msimu huu kwenda timu watakayofikia mwafaka. Taarifa iliyotolewa katika mtandao wa klabu ya Barcelona, ilisema kuwa wanatarajia… Continue reading FC BARCELONA KUMUUZA ANSU FATI

JOAN LAPORTA ANAMTAKA XAVI HERNANDEZ KUENDELEA KUWA KOCHA WA FC BARCELONA

MICHEZO Rais wa FC Barcelona, Joan Laporta amesisitiza kwamba anataka Xavi Hernandez abaki kama kocha wa klabu hiyo baada ya msimu wa 2023/24. Xavi alitangaza nia yake ya kuondoka Barca mwishoni mwa msimu wa 2023/24 miezi michache iliyopita kutokana na hali mbaya iliyowafanya kupoteza mechi mbili za EL Clasico na kujiondoa katika mbio za ubingwa… Continue reading JOAN LAPORTA ANAMTAKA XAVI HERNANDEZ KUENDELEA KUWA KOCHA WA FC BARCELONA

JOAN LAPORTA NA BARCELONA YAKE WAKATAA KUMUUZA LAMINE YAMAL

MICHEZO Rais wa FC Barcelona Joan Laporta amekiri kuwa klabu hiyo imekataa ofa ya Pauni milioni 200 (sawa na Sh bilioni 551) kwa ajili ya Lamine Yamal. Taarifa hiyo imetolewa hivi karibuni, kupitia kwa wakala Jorge Mendes baada ya kutoa mapendekezo kuhusu mshambuliaji huyo wa Blaugrana. FC Barcelona imekataa kabisa ofa kutoka klabu ya Ufaransa… Continue reading JOAN LAPORTA NA BARCELONA YAKE WAKATAA KUMUUZA LAMINE YAMAL

Please disable your adblocker or whitelist this site!

         banner