WANAOTAJWA KUHUSIKA NA SHAMBULIZI LA KIGAIDI NCHINI URUSI

HABARI KUU Ukumbi wa Jiji la Crocus huko Krasnogorsk, kitongoji kilicho kaskazini-magharibi mwa Moscow, unajulikana kwa uenyeji wa maelfu ya watu na kupokea wasanii wengi wa Kimataifa. Video katika mitandao ya kijamii ilionesha watu kadhaa waliokuwa na silaha wakiingia ndani ya ukumbi huo kabla ya kufyatua risasi na kusababisha watu 60 kufariki na wengine zaidi… Continue reading WANAOTAJWA KUHUSIKA NA SHAMBULIZI LA KIGAIDI NCHINI URUSI

JINSI SERIKALI YA TANZANIA INAVYOTUMIA MABILIONI KWAAJILI YA TIMU ZA TAIFA

MAKALA Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Dkt. Damas Ndumbaro amesema kuwa katika kipindi cha mwezi Julai 2023 hadi Februari, 2024 Wizara kupitia Baraza la Michezo la Taifa (BMT) imetumia kiasi cha Shilingi Bilioni 2.4 kugharamia Timu mbalimbali za Taifa katika mashindano ndani na nje ya nchi. Mhe. Ndumbaro amesema hayo wakati akiwasilisha utekekezaji… Continue reading JINSI SERIKALI YA TANZANIA INAVYOTUMIA MABILIONI KWAAJILI YA TIMU ZA TAIFA

WAWILI WASHIKILIWA NA POLISI KISA KUUZA INTANETI

HABARI KUU Jeshi la Polisi Kanda Maalum linawashikilia Claudian Makaranga (28) Mkazi wa Kawe, na Raia wa China, Hongliang Yang (35), kwa tuhuma za kuingiza Nchini vifaa vya Mawasiliano ya Intaneti vyenye jina la STARLINK KIT/DEVICE bila kufuata utaratibu wa Kisheria Watuhumiwa hao wamekuwa wakijitangaza kupitia Mitandao kama Instagram kwa kuuza Vifaa na kutoa huduma… Continue reading WAWILI WASHIKILIWA NA POLISI KISA KUUZA INTANETI

MFAHAMU MUHAMMAD ALI NDANI YA HOLLYWOOD

NYOTA WETU Mwaka wa 2002, Muhammad Ali alipewa nyota ya heshima kwenye ‘Hollywood Walk of Fame’ lakini haikuwa kama nyota zingine. Kinyume na desturi, nyota yake ilikuwa imewekwa kwenye ukuta badala ya kwenye lami,kwenye eneo la burudani la ‘Kodak Theater’. Kwa sababu bingwa huyo wa zamani, aliyekuwa na miaka 59 wakati huo, alisema hakutaka jina… Continue reading MFAHAMU MUHAMMAD ALI NDANI YA HOLLYWOOD

33 STEPS OF A GOOD WIFE

LOVE ❤ 33 STEPS OF A GOOD WIFE 1). Never raise your voice for any reason to your husband. Its a sign of disrespect. 2). Don’t expose your husband’s weaknesses to your family and friends. It will bounce back at you. You are each other’s keeper. 3). Never use attitudes and moods to communicate to… Continue reading 33 STEPS OF A GOOD WIFE

RUBANI AHUKUMIWA KIFUNGO CHA MIEZI 10 KWA ULEVI

HABARI KUU Rubani mmoja wa Shirika la Ndege la Delta, amehukumiwa kifungo cha miezi 10 Jela kwa kufika kazini akiwa amelewa. Mnamo Juni 16 mwaka jana Rubani Lawrence Russell Jr (63) raia wa Marekani alikuwa akijiandaa kurusha Ndege kutokea Edinburgh, Scotland kuelekea New York, Marekani. Baada ya vipimo vya kawaida kabla ya kuanza safari, Rubani… Continue reading RUBANI AHUKUMIWA KIFUNGO CHA MIEZI 10 KWA ULEVI

DONALD TRUMP AOMBA URAIS ILI KUMFUKUZA PRINCE HARRY

HABARI KUU Mgombea urais Donald Trump amesema kama atashinda urais Novemba mwaka huu atamfukuza mwana mfalme wa Uingereza, Prince Harry iwapo atakuwa amedanganya kuhusu utumiaji wake wa dawa za kulevya kwenye fomu ya kuomba viza ya kuishi Marekani. Trump (77) ambaye juzi kwenye jimbo la Ohio alionyesha kukerwa na wingi wa wahamiaji na kuwaita wanyama… Continue reading DONALD TRUMP AOMBA URAIS ILI KUMFUKUZA PRINCE HARRY

GABRIEL MAGALHAES APATA MAJERAHA TIMU YA TAIFA YA BRAZIL

MICHEZO Arsenal imetikiswa baada ya beki wake mahiri kabisa, Gabriel kujiondoa kwenye kikosi cha timu ya taifa ya Brazil baada ya kudaiwa anasumbuliwa na maumivu. Beki huyo wa kati alitarajia kuanza kwenye mechi ya Jumamosi (Machi 23) dhidi ya England itakayopigwa huko Wembley akiwa na kikosi cha Brazil maarufu kama Samba Boys. Hata hivyo, alifanya… Continue reading GABRIEL MAGALHAES APATA MAJERAHA TIMU YA TAIFA YA BRAZIL

CHAKULA CHA WAMAREKANI KIKO SALAMA YASEMA TBS

HABARI KUU Shirika la Viwango Tanzania (TBS) limesema msaada wa chakula uliotolewa na wizara ya Kilimo ya Marekani kwa ushirikiano na Taasisi za Jumuiya ya Kimataifa katika baadhi ya shule za mkoa wa Dodoma ulifuata taratibu za uingizwaji wa chakula nchini. Taarifa ya TBS iliyotolewa kwa vyombo vya habari imeeleza kuwa chakula hicho kilipoingizwa nchini… Continue reading CHAKULA CHA WAMAREKANI KIKO SALAMA YASEMA TBS

MFAHAMU MWANAUME MWENYE MVUTO ZAIDI DUNIANI

NYOTA WETU Muigizaji mtanashati kutoka Marekani Michael B Jordan amefunguka kuhusu kujisikia mpweke huku akieleza anachotaka katika uhusiano wake ujao wa kimapenzi. Kulingana alichokisema kwenye podikasti “On Purpose With Jay Shetty,” mwigizaji huyo mwenye umri wa miaka 37, amesema wazi kuwa anapitia “upweke” na kuhisi kutengwa kwa sababu ya kazi yake na umaarufu alionao. Aidha… Continue reading MFAHAMU MWANAUME MWENYE MVUTO ZAIDI DUNIANI

Please disable your adblocker or whitelist this site!

         banner