RAIS EMMANUEL MACRON KUSAIDIA WATU KUFA

NYOTA WETU Rais Emmanuel Macron, ametangaza kuwa ifikapo Mei 2024, Serikali itawasilisha Bungeni Muswada wa Sheria itakayotoa Haki ya kusaidia Watu Kufa baada ya kuugua au kufikia hatua mbaya ya maumivu yasiyotibika. Macron amesema “Kutokana na kwamba kuna hali ambazo hauwezi kuzikabili kibinadamu, lengo letu ni kumpa Mtu uhuru binafsi wa kuamua kuhusu uhai wake… Continue reading RAIS EMMANUEL MACRON KUSAIDIA WATU KUFA

JOE BIDEN ATANGAZA SIKU YA VITA YA ISRAEL NA HAMAS KUSITISHWA

HABARI KUU Rais wa Marekani Joe Biden amesema anatumai kuwa hadi Jumatatu ya wiki ijayo vita ya Israeli katika Ukanda wa Gaza itakua imesitishwa. “Kwa hakika natarajia kufikia mwanzoni mwa mwisho wa wiki hii angalau……….. kwa jinsi ninavyoambiwa na mshauri wangu wa masuala ya usalama ni kwamba tupo karibu, tupo karibu lakini bado, matarajio yangu… Continue reading JOE BIDEN ATANGAZA SIKU YA VITA YA ISRAEL NA HAMAS KUSITISHWA

MBWA WA RAIS JOE BIDEN COMMANDER NI HATARI

HABARI KUU Mbwa wa Rais wa Marekani Joe Biden aitwaye Commander aliwang’ata maafisa usalama kwenye matukio takriban 24, nyaraka zilizotolewa zimeonesha. Taarifa za maafisa usalama zinaonesha kiwango ambacho mbwa huyo aina ya German Shepherd alivyosababisha sekeseke kwa walinzi wa Rais. Afisa mmoja wa ngazi ya juu amesema kung’atwa huko kulisababisha maafisa usalama kubadili mbinu zao… Continue reading MBWA WA RAIS JOE BIDEN COMMANDER NI HATARI

Please disable your adblocker or whitelist this site!

         banner