JUDE BELLINGHAM KUKOSA MASHINDANO YA LIGI YA MABINGWA ULAYA

MICHEZO Kiungo wa England na timu ya Real Madrid ataukosa mchezo wa Ligi ya Mabingwa Ulaya dhidi ya RB LEIPZIG kutokana na majeraha ya mguu. Kiungo huyo fundi alitolewa nje ya uwanja huku akiwa amefunga mabao mawili dhidi ya Girona kwenye ushindi wa kalamu ya mabao 4-0 . Naye Meneja wa timu ya Real Madrid,… Continue reading JUDE BELLINGHAM KUKOSA MASHINDANO YA LIGI YA MABINGWA ULAYA

" class="blockspare-share-linkedin" title="Share on LinkedIn" > Share on LinkedIn

Please disable your adblocker or whitelist this site!

         banner