MUIGIZAJI WA NOLLYWOOD AMAECHI MUONAGOR AFARIKI DUNIA

NYOTA WETU Muigizaji Mkongwe wa Nollywood Nigeria, Amaechi Muonagor amefariki Dunia akiwa na umri wa miaka 62 baada ya kuugua magonjwa mbalimbali huku kufeli kwa figo yake kukitajwa kuwa chanzo cha kifo chake. Hivi karibuni video za muigizaji huo zilisambaa akiomba watu wamchangie ili asafiri nje ya Nigeria kwa ajili ya matibabu ambapo tayari Watu… Continue reading MUIGIZAJI WA NOLLYWOOD AMAECHI MUONAGOR AFARIKI DUNIA

KASI YA ONGEZEKO LA WAJANE YASHTUA HADHARI YATOLEWA

MAGAZETI Karibu Mtanzania popote pale ulipo kwenye asubuhi ya leo kwenye mbao za magazeti ya hivi leo popote pale ulipo kwenye Jamhuri yetu tukufu ya Tanzania.

NIGERIA COMEDIAN AYO MAKUN HUMOROUSLY DRAGS HIS SISTER

OUR STAR 🌟 “You refused to do same for me” – Ayo Makun teases sister for gifting husband new car:::::: Nigerian comedian, Ayo Makun humorously drags his sister, Bukky Ray following the gift of a brand new car to her husband while narrating his brother-in-law’s effort in his sister’s life. In a post on his… Continue reading NIGERIA COMEDIAN AYO MAKUN HUMOROUSLY DRAGS HIS SISTER

TANZANIA YAKUBALI KICHAPO MBELE YA BULGARIA

MICHEZO Timu ya Taifa ya Tanzania (Taifa Stars) imeanza vibaya mashindano ya FIFA Series 2024 baada ya kupokea kichapo cha 1-0 dhidi ya Bulgaria katika dimba la Olympic Baku, Azerbaijan. FT: Bulgaria 🇧🇬 1-0 🇹🇿 Tanzania⚽ Kiril Despodov 52′ Nyanda Aishi Manula alishindwa kuendelea na mchezo baada ya kuonekana kupata jeraha na kuomba kufanyiwa mabadiliko… Continue reading TANZANIA YAKUBALI KICHAPO MBELE YA BULGARIA

33 STEPS OF A GOOD WIFE

LOVE ❤ 33 STEPS OF A GOOD WIFE 1). Never raise your voice for any reason to your husband. Its a sign of disrespect. 2). Don’t expose your husband’s weaknesses to your family and friends. It will bounce back at you. You are each other’s keeper. 3). Never use attitudes and moods to communicate to… Continue reading 33 STEPS OF A GOOD WIFE

GIORGIA MELONI AOMBA KULIPWA FIDIA KWA KUHUSISHWA NA VIDEO ZA NGONO

HABARI KUU Waziri Mkuu wa Italia Giorgia Meloni ameomba kulipwa fidia ya euro 100,000 kutokana na video chafu za bandia zilizotengenezwa kumuhusu na kuwekwa mtandaoni. Picha bandia ni ile ambayo uso wa mtu huungwa na mwili wa mtu mwingine kidigitali. Bi.Meloni anatarajia kutoa ushahidi Mahakamani katika mji wa Sardinia ifikapo Julai 2. Mwanaume mmoja mwenye… Continue reading GIORGIA MELONI AOMBA KULIPWA FIDIA KWA KUHUSISHWA NA VIDEO ZA NGONO

MANCHESTER UNITED YAICHAPA LIVERPOOL IKITINGA NUSU FAINALI YA FA

MICHEZO Manchester United imetinga nusu fainali ya kombe la FA England kufuatia ushindi wa 4-3 dhidi ya Liverpool katika dimba la Old Trafford kwenye robo fainali. FT: MAN UTD 2-2 LIVERPOOL (ET 4-3)⚽ McTominay 10′⚽ Antony 87′⚽ Rashford 112′⚽ Amad 120+2′⚽ Mac Allister 44′⚽ Salah 45+2′⚽ Elliott 105′ United imeungana na Manchester City, Chelsea na… Continue reading MANCHESTER UNITED YAICHAPA LIVERPOOL IKITINGA NUSU FAINALI YA FA

Kocha Mkuu wa Liverpool, Jurgen Klopp amekanusha madai kwamba Mkurugenzi Mkuu Mtendaji mpya wa klabu hiyo, Michael Edwards amemuomba kubaki kwenye klabu hiyo.

Fenway Sports Group inayoimiliki klabu ya Liverpool imetangaza kumrejesha Edwards kama Mkurugenzi Mtendaji mpya wa klabu hiyo. Edwards alipata mafanikio makubwa akiwa na Liverpool kwenye historia ya klabu hiyo, akifanya kazi sambamba na Klopp kutengeneza kikosi kilichoshinda ubingwa wa Ligi Kuu ya England na Ligi ya Mabingwa Barani Ulaya. Kiongozi huyo aliondoka Liverpool mwaka 2022,… Continue reading Kocha Mkuu wa Liverpool, Jurgen Klopp amekanusha madai kwamba Mkurugenzi Mkuu Mtendaji mpya wa klabu hiyo, Michael Edwards amemuomba kubaki kwenye klabu hiyo.

Please disable your adblocker or whitelist this site!

         banner