WANAJESHI WATATU WA TANZANIA WAUAWA KWENYE MAPIGANO DRC

HABARI KUU Wanajeshi watatu wa Tanzania wanaohudumu katika kikosi cha kulinda amani cha Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) wameuawa kwenye shambulio la kombora Mashariki mwa DR Congo na wengine watatu kujeruhiwa. Taarifa ya SADC haijaeleza ni wapi, lini au nani aliyehusika na shambulio hilo.

MAPIGO 10 YA CCM KWA MZEE EDWARD LOWASSA ALIYOPITIA BAADA YA KUJIUNGA NA CHADEMA

MASTORI MAPIGO 10 YA CCM KWA MZEE LOWASSA. Haikuwa Jambo rahisi kwa CCM kumshuhudia Kiongozi mkubwa ngazi (Waziri Mkuu) kukihama CCM na kujiunga na Chama cha upinzani CHADEMA. Usiwaone leo CCM msibani wanalia na kupishana kutoa maneno mazuri kwa Mzee Lowassa ukajua hadi roho zao ni nzuri, HAPANA. Ukiondoa vicheko, tabasamu na maneno matamu ya… Continue reading MAPIGO 10 YA CCM KWA MZEE EDWARD LOWASSA ALIYOPITIA BAADA YA KUJIUNGA NA CHADEMA

MFAHAMU JUDITH TULUKA SUMINWA WAZIRI MKUU MPYA DRC

HABARI KUU Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC), Felix Tshisekedi leo Aprili Mosi amemteua Waziri wake wa Mipango, Judith Tuluka Suminwa kuwa Waziri Mkuu. Suminwa anakuwa mwanamke wa kwanza kwa Taifa hilo kuwa Waziri Mkuu akichukua nafasi ya Jean-Michel Sama Lukonde aliyejiuzulu wiki mbili zilizopita. Lukonde (46), aliyekuwa madarakani kwa miaka mitatu, aliteuliwa… Continue reading MFAHAMU JUDITH TULUKA SUMINWA WAZIRI MKUU MPYA DRC

DRC NAMES JUDITH TULUKA SUMINWA AS A PRIME MINISTER

TOP NEWS President Félix Tshisekedi has just appointed Judith Tuluka Suminwa to the post of Prime Minister. Before her appointment as Head of Government, Judith Tuluka was Minister of State in charge of Planning. Judith Tuluka Suminwa is an expert in international development with experiences in different countries. She holds a master’s degree in Administration… Continue reading DRC NAMES JUDITH TULUKA SUMINWA AS A PRIME MINISTER

HISTORIA YA VITAL KAMERHE LWA KANYIGINYI NKINGI

NYOTA WETU Siasa ni taaluma kama itafanywa na wataalamu,siasa ni mpango mkakati wa maendeleo ya taifa kwa miaka mingi,wakati mwingine siasa huhitaji unafiki,majungu, fitina na kujikomba kwa viongozi wakubwa ili kulinda mkate wa watoto au kuendelea kujikomba ila kupanda vyeo au kulamba teuzi hii tabia kitaalamu huitwa Sycophancy ambapo kwa kiswahili fasaha ni ubarakala. Wanasiasa… Continue reading HISTORIA YA VITAL KAMERHE LWA KANYIGINYI NKINGI

SABABU DRC KUISHITAKI RWANDA MAHAKAMA KUU YA AFRIKA MASHARIKI

HABARI KUU Mgogoro katika eneo la Mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo umechukua mkondo wa kisheria baada ya Kinshasa kuishtaki Kigali katika Mahakama ya Haki ya Afrika Mashariki (EACJ) jijini Arusha. Kinshasa inadai kuwa Kigali imekiuka uhuru wa ardhi ya DRC na inaituhumu kwa kusaidia vita katika eneo hilo. Katika maombi yake, DRC imeomba… Continue reading SABABU DRC KUISHITAKI RWANDA MAHAKAMA KUU YA AFRIKA MASHARIKI

WATU ZAIDI YA 100000 WALIVYOKIMBIA VITA DRC

HABARI KUU Wananchi wameendelea kuyakimbia makazi yao kutokana na mashambulizi yanayoendelea kutekelezwa na waasi wa M23, Mashariki mwa DRC. Ofisi ya Umoja wa Mataifa ya kuratibu masuala ya Kibinadamu (Ocha), inakadiria zaidi ya watu 100,000 wamelazimika kuyahama makazi yao kutokana na mapigano yanayoendelea katika eneo la Rutshuru tangu Ijumatano wiki iliyopita. Rwanda imekuwa ikinyoshewa kidole… Continue reading WATU ZAIDI YA 100000 WALIVYOKIMBIA VITA DRC

MTANGAZAJI KAPINGA KISAMBA CLARISSE AWEKA REKODI HII

NYOTA WETU Mtangazaji wa kike wa Televisheni mzaliwa wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC) Kapinga Kisamba Clarisse amejizolea umaarufu baada ya kuonekana akiwa anasoma taarifa ya habari akiwa amembeba mtoto wake mgongoni. Tukio hilo lilitokea katika kituo cha Televisheni kilichopo Goma, Mashariki mwa DR Congo. Kwenye mitandao ya kijamii, Clarisse amepongezwa kwa kitendo hicho… Continue reading MTANGAZAJI KAPINGA KISAMBA CLARISSE AWEKA REKODI HII

LUVUMBU NZINGA AJIUNGA NA AS VITA CLUB

MICHEZO Mchezaji Heritier Luvumbu Nzinga amesaini makataba wa msimu mmoja kwa ajili ya kuitumikia klabu ya AS Vita Club ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo. Nyota huyo amesaini mkataba huo mbele ya Rais wa klabu ya AS Vita Club Amadou Diaby. Hata hivyo, vipengele vya mkataba kati ya mchezaji huyo na mwajiri wake mpya havijawekwa… Continue reading LUVUMBU NZINGA AJIUNGA NA AS VITA CLUB

RAIS TSHISEKEDI KUMPA ZAWADI LUVUMBU NZINGA

MICHEZO Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, Felix Tshisekedi ametangaza kumpatia zawadi mchezaji Luvumbu Nzinga ambaye ameachana na klabu ya Rayon Sports ya Rwanda hivi karibuni. Katika mkutano na waandishi wa habari alifahamisha kuwa Luvubu alionyesha ushujaa katika kuwapigania wananchi wa DRC waliopo Kaskazini mwa nchini hiyo ambao wanaendelea kuyakimbia makazi yao kutokana na… Continue reading RAIS TSHISEKEDI KUMPA ZAWADI LUVUMBU NZINGA

Please disable your adblocker or whitelist this site!

         banner