RWANDA KUFANYA UCHAGUZI MKUU JULAI

HABARI KUU Tume Huru ya Uchaguzi nchini Rwanda (NEC), imetangaza kuwa Uchaguzi wa Urais na ule wa Wabunge unatarajiwa kufanyika Julai 15, 2024 huku kwa waliopo nje ya nchi wakitarajia kupiga kura tarehe 14 Julai. Utaratibu wa Uchaguzi wa Urais na wabunge takribani 53 ambao wanaunda Bunge la Rwanda hufanyika kutokana na majina ambayo yanakuwa… Continue reading RWANDA KUFANYA UCHAGUZI MKUU JULAI

WAASI WA CONGO WAWEKEWA VIKWAZO NA UMOJA WA MATAIFA

HABARI KUU Umoja wa Mataifa umeweka vikwazo vya usafiri, silaha na kupiga tanji amana za viongozi sita wa makundi ya waasi katika Jamhuri ya Kidemokrasi ya Kongo, huku ghasia zikizidi kurindima mashariki mwa nchi hiyo. Waliowekewa vikwazo ni pamoja na msemaji wa kundi la waasi la M23, Jenerali wa kundi la FDLR, na viongozi wawili… Continue reading WAASI WA CONGO WAWEKEWA VIKWAZO NA UMOJA WA MATAIFA

WAZIRI MKUU WA CONGO LUKONDE AJIUZULU

HABARI KUU Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, Jean-Michel Sama Lukonde, amejiuzulu Jumanne Februarai 20,2024 na kusababisha kuvunjwa kwa ofisi yake, ofisi ya Rais ilitangaza katika taarifa kwa vyombo vya habari. Jean-Michel Sama Lukonde aliteuliwa kuwa Waziri Mkuu wa nchi hii ya Afrika ya kati yenye utajiri wa madini mnamo Februari 2021. Alikuwa… Continue reading WAZIRI MKUU WA CONGO LUKONDE AJIUZULU

RWANDA YAIPINGA MAREKANI KUHUSU VITA YA CONGO

HABARI KUU Nchi ya Rwanda imeituhumu Marekani kwa kuikosoa na kupotosha ukweli kuhusu machafuko yanayoendelea Mashariki mwa nchi ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo. Katika tangazo ambalo limetolewa na Rwanda kupitia Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, nchi hiyo inaishutumu DRC kwa kuwa chanzo cha mgogoro unaoendelea baada ya Serikali ya Rais… Continue reading RWANDA YAIPINGA MAREKANI KUHUSU VITA YA CONGO

RWANDA KUONGOZA UKUAJI UCHUMI KWA AFRIKA MASHARIKI MWAKA 2024 .

MAKALA Ripoti ya Ukuaji wa Uchumi iliyotolewa na Benki ya Maendeleo Afrika (AfDB) inaeleza kati ya Nchi 20 zitakazokuwa na Ukuaji wa Kasi ya Uchumi Duniani kote kwa Mwaka 2024, Nchi 11 zitatoka Barani Afrika Kanda ya Afrika Mashariki imetajwa kuwa itaendelea kuongoza Ukuaji wa Uchumi katika Kanda zote za Afrika ikiwa na Ukuaji wa… Continue reading RWANDA KUONGOZA UKUAJI UCHUMI KWA AFRIKA MASHARIKI MWAKA 2024 .

TIMU YA DRC KUVAA JEZI MAALUMU YA AMANI KESHO

MICHEZO Timu ya Taifa ya DRC inakwenda kutumia mchezo wa nusu fainali ya Mataifa ya Afrika AFRICON kutuma ujumbe wa pole kwa waathirika wa mapigano ya muda mrefu Kaskazini mwa nchi yao. Wamesema hawatavaa jezi kwaajili ya kupata ushindi bali kutuma salamu za pole kwa waathirika wa mapigano na pia kuiomba Serikali na waasi kufika… Continue reading TIMU YA DRC KUVAA JEZI MAALUMU YA AMANI KESHO

BURUNDI NA CONGO ZAUNGANA KUIPIGA RWANDADiscoverCars.com

HABARI KUU. Rais wa Burundi, Evariste Ndayishimiye amesema atawasaidia vijana wa Jamhuri ya kidemokrasia ya Congo katika kupambana na adui yao. Katika mkutano na vijana amefahamisha kuwa adui wa Burundi na CONGO ni Rwanda kwahiyo wanapaswa kupambana na adui ili waweze kumshinda. Pia ameinyoshea kidole Rwanda kwa kuwa chanzo cha usalama mdogo unaoripotiwa kwenye ukanda… Continue reading BURUNDI NA CONGO ZAUNGANA KUIPIGA RWANDADiscoverCars.com

KATUMBI APINGA USHINDI WA TSHISEKEDI

HABARI KUU. Upinzani nchini DRC umewasihi raia kushirikiana nao kupinga matokeo ya uchaguzi uliofanyika hivi karibuni kwa kile walichosema ni udanganyifu na dosari kubwa . Uchaguzi uliofanyika mwishoni mwa mwaka 2023 uliompa ushindi, Felix Tshisekedi Mulumba kuwa Rais wa nchi hiyo ya Mashariki mwa Afrika kwa mara ya pili mfululizo huku mpizani wake akiwa ni… Continue reading KATUMBI APINGA USHINDI WA TSHISEKEDI

Please disable your adblocker or whitelist this site!

         banner