RAIS SAMIA AWAKAANGA MABALOZI WALA BATA

Dodoma. Rais wa Tanzania Dkt .Samia Suluhu Hassan amewaapisha MabaloziWateule Ikulu Chamwino Dodoma leo Agosti 16,2023 ambapo moja ya mambo aliyoyasema kwenye hotuba ni kwamba kuna Mabalozi ni kama vile hawajui wanachokifanya kwakuwa wapowapo tu na hawafanyi kazi kwa ufanisi. “Katika Nchi nyingine Mabalozi wetu sijui niseme hawajui wanachofanya ,wapo tu,nilishakutana na Rais mwenzangu ndani… Continue reading RAIS SAMIA AWAKAANGA MABALOZI WALA BATA

BERNARD KAMUNGO KUTOKA KUWA MKIMBIZI NA KUWA NYOTA WA SOKA

<!–INDOLEADS – BEGIN–> Makala Fupi Ni MUNGU tu mwenye Mamlaka ya kumruzuku kiumbe wake riziki katika Mazingira yoyote yale, ni MUNGU ambaye anaweza kukupitisha kwenye changamoto hili akupe pumziko jema. Kwenye vitabu vya Dini tunaambiwa ,kuna watu walistahili kuingizwa motoni yaani Jehanam lakini kwa neema na rehema za Mwenyezi MUNGU yeye atawaandalia njia wao wapone… Continue reading BERNARD KAMUNGO KUTOKA KUWA MKIMBIZI NA KUWA NYOTA WA SOKA

Please disable your adblocker or whitelist this site!

         banner