HOW TO TAKE CARE YOUR WOMAN’S EMOTIONS
LOVE ❤ 1. Give her eye contact when she is talking to you, it makes her feel important 2. When she is venting, allow her to speak. It is healthy…
LOVE ❤ 1. Give her eye contact when she is talking to you, it makes her feel important 2. When she is venting, allow her to speak. It is healthy…
MICHEZO
Waziri wa mambo ya ndani wa Ufaransa ,Gerald Damarnin ,anamshutumu Karim Benzema kwa kuwa na uhusiano na kundi la kigaidi la Muslims Brotherhood, baada ya mchezaji huyo wa klabu ya Al-ittihad ya Saudia Arabia, kuonyesha kuunga mkono Taifa la Palestine katika mzozo wao na Israel, siku za hivi karibuni.
Benzema alitumia mtandao wake wa kijamii wa X na kuandika ujumbe uliosomeka,
(more…)Maombi yetu yawafikie wakazi wa Gaza ambao kwa mara nyingine ni waathirika wa milipuko hii yenye kukiuka ubinadamu ,ikiwaathiri hakina mama na watoto.