KATIBU MKUU WA CCM BADO ASHIKILIA MSIMAMO WA UMOJA WA KITAIFA ZANZIBAR

HABARI KUU Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dk. Emmanuel John Nchimbi amesema uamuzi wa kuwepo kwa Serikali ya Umoja wa Kitaifa ya Zanzibar ulizingatia kutanguliza mbele usalama wa maisha ya watu, maslahi, utulivu na mstakabali mwema wa Zanzibar, Wazanzibar na Watanzania wote kwa ujumla, kuliko vyama vya siasa. Balozi Dk. Nchimbi amesema… Continue reading KATIBU MKUU WA CCM BADO ASHIKILIA MSIMAMO WA UMOJA WA KITAIFA ZANZIBAR

DIDIER DESCHAMPS AFURAHISHWA NA PSG KUMKALISHA BENCHI MBAPPE

MICHEZO Kocha Mkuu wa Ufaransa, Didier Deschamps amesema kukosa nafasi ya mara kwa mara ya kucheza kwa Mshambuliaji Kylian Mbappe kwenye klabu yake ya Paris Saint-Germain ni habari njema kwa timu ya taifa ya nchi hiyo. Nahodha huyo wa Ufaransa aliiweka wazi PSG mwezi uliopita kwamba ataondoka kwenye klabu hiyo pindi mkataba wake utakapofikia kikomo… Continue reading DIDIER DESCHAMPS AFURAHISHWA NA PSG KUMKALISHA BENCHI MBAPPE

PAPA ASHINDWA KUJIBU SWALI KUHUSU JAMII YA LGBTQ

HABARI KUU. Watu waliobadili jinsia wanaweza kuwa wazazi wa ubatizo katika kanisa Katoliki, mashahidi katika harusi za kidini na kubatizwa,ofisi ya mafundisho ya Vatican ilisema Jumatano ,ikijibu maswali kutoka kwa Askofu. Idara hiyo, inayojulikana kama Dicastery of the doctrine of the faith ,haikuwa wazi hata hivyo,katika kujibu kuhusu wenzi wa jinsia moja wanaweza kupata ubatizo… Continue reading PAPA ASHINDWA KUJIBU SWALI KUHUSU JAMII YA LGBTQ

Please disable your adblocker or whitelist this site!

         banner