KATUMBI NA TSHISEKEDI NANI KUICHUKUA DRC?

HABARI KUU Jumla ya wagombea wanne wa urais nchini CONGO wamejiengua kwenye mchakato wa kinyang’anyiro cha kugombea urais wa CONGO na kuamua kumuunga mkono ,Gavana wa zamani wa jimbo lenye utajiri wa madini ,Moise Katumbi “Chapwe” ambaye ni mgombea wa upinzani. Wanasiasa waliojitoa kwenye mchakaro huo ni; Delly Sesanga,Matata Ponyo, Seth Kikuni na Franck Diongo.… Continue reading KATUMBI NA TSHISEKEDI NANI KUICHUKUA DRC?

Please disable your adblocker or whitelist this site!

         banner