WHAT INSPIRES FAITHFULNESS IN MARRIAGE

LOVE ❤ 1. VISIONVision gives one a reason to stay committed. When you have a vision of the kind of marriage you want to have and the kind of spouse you are working to become, you stay true even when it gets tough 2. FEARWhen you value what you have with your spouse and all… Continue reading WHAT INSPIRES FAITHFULNESS IN MARRIAGE

JINSI SERIKALI YA TANZANIA INAVYOTUMIA MABILIONI KWAAJILI YA TIMU ZA TAIFA

MAKALA Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Dkt. Damas Ndumbaro amesema kuwa katika kipindi cha mwezi Julai 2023 hadi Februari, 2024 Wizara kupitia Baraza la Michezo la Taifa (BMT) imetumia kiasi cha Shilingi Bilioni 2.4 kugharamia Timu mbalimbali za Taifa katika mashindano ndani na nje ya nchi. Mhe. Ndumbaro amesema hayo wakati akiwasilisha utekekezaji… Continue reading JINSI SERIKALI YA TANZANIA INAVYOTUMIA MABILIONI KWAAJILI YA TIMU ZA TAIFA

MAKAMBA AKANUSHA UWEPO WA NOTI YA FEDHA YA JUMUIYA YA AFRIKA MASHARIKI

HABARI KUU Waziri wa Mambo ya Nje na ushirikiano wa Afrika mashariki, Mhe. January Makamba amekanusha taarifa zilizosambaa kwamba Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC), kwa mara ya kwanza imetambulisha noti yake itakayotumika katika nchi wanachama, iliyopewa jina la SHEAFRA (SHF). Kupitia ukurasa wake wa mitandao ya kijamii Mhe. Makamba amesema “Hizi taarifa si za kweli.”… Continue reading MAKAMBA AKANUSHA UWEPO WA NOTI YA FEDHA YA JUMUIYA YA AFRIKA MASHARIKI

AVUNJIKA MKONO AKITOROKA ASIFUMANIWE

HABARI KUU Kijana mwenye umri wa miaka 25 amevunjika mkono Jumamosi usiku baada ya kuruka kutoka ghorofa ya nne huko Embu Town, nchini Kenya. Kijana huyo ambaye polisi wamemtaja kwa jina la Daniel Mwinzi inaripotiwa kuwa alikwenda kumtembelea rafiki yake wa kike na tukio hilo likatokea. Chifu wa eneo hilo Sammy Njagi, alithibitisha kisa hicho,… Continue reading AVUNJIKA MKONO AKITOROKA ASIFUMANIWE

KENYA NA TANZANIA ZAPIMANA UBAVU

HABARI KUU Kufuatia maamuzi ya Mamlaka ya usafiri wa Anga Tanzania ( TCAA) kutangaza kusitisha kibali cha shirika la ndege la Kenya (kQ) kufanya safari kati ya Dar es salaam na Nairobi kuanzia Januari 22,2024 ,Mamlaka ya usafiri wa Anga nchini Kenya (KQ) imetoa taarifa kuwa I inatafuta Suluhu ili kusewepo na mtatiziko wa safari.… Continue reading KENYA NA TANZANIA ZAPIMANA UBAVU

" class="blockspare-share-linkedin" title="Share on LinkedIn" > Share on LinkedIn

Please disable your adblocker or whitelist this site!

         banner