MICHEZO Rais William Ruto ameahidi kujitolea kufufua soka la Kenya katika kujenga miundombinu, maendeleo ya vijana na usaidizi kwa vilabu na timu za kitaifa. Ameyasema hayo katika hafla ya kuadhimisha kumbukumbu ya miaka 60 ya AFC Leopards huku Rais huyo akiahidi kutoa kitita cha milioni kumi kwa klabu hiyo. Katika hotuba yake, Rais Ruto alikiri… Continue reading WILLIAM RUTO KUMUIGA SAMIA KWENYE SOKA ATOA AHADI HII
Tag: #kenyatta #Williamruto #kenya
BAADA YA KIFO CHA MR IBU MAPYA YAIBUKA
NYOTA WETU Kufuatia kifo mwigizaji na mchekeshaji wa Nigeria, John Okafor maarufu kama Mr Ibu kilichotokea Machi 2, 2024 mapya yameibuka baada ya kudaiwa kutengwa na wake zake huku binti yake wa kambo akichukua akaunti ya TikTok ya msanii huyo na kubadili umiliki wa akaunti hiyo na kuifanya yake. Mr Ibu alitalikiana na mke wake… Continue reading BAADA YA KIFO CHA MR IBU MAPYA YAIBUKA
WILLIAM RUTO KAMA MAGUFULI
HABARI KUU Rais wa Kenya 🇰🇪 Dkt. William Ruto amesema Serikali yake imepunguza bajeti ya usafiri wa nje wa Ksh bilioni 11 (Tsh bilioni 186) baada ya ukosoaji wa umma juu ya ziara zake nyingi nje ya nchi . Dkt . Ruto amesema watumishi wa umma hawataruhusiwa kuhudhuria warsha nje ya nchi. Akizungumza wakati wa… Continue reading WILLIAM RUTO KAMA MAGUFULI