MHASIBU WILAYA YA SAME JELA MIAKA 20

HABARI KUU Aliyekuwa Mhasibu wa Halmashauri ya Wilaya ya Same Mkoani Kilimanjaro, Paulo Teveli amehukumiwa kifungo cha miaka 20 jela bila faini, baada ya kutiwa hatiani kwa uhujumu uchumi. Teveli alikuwa akikabiliwa na makosa mawili, ikiwemo matumizi mabaya ya mamlaka chini ya kifungu cha 31 cha Sheria ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa Sura 329… Continue reading MHASIBU WILAYA YA SAME JELA MIAKA 20

ULEVI KWA VIJANA KILIMANJARO WAWATISHA VIONGOZIDiscoverCars.com

HABARI KUU Akizungumza kwenye mkutano mkuu wa mwisho wa mwaka wa wana Dayosisi ya Kaskazini, waishio nje, aliyekuwa Mkuu wa Mkoa ,Aggrey Mwanri amesema zinahitajika jitihada za makusudi za serikali, jamii na hata kanisa kumaliza tatizo la ulevi mkoani humo, kwani nguvu kazi ambao ni vijana wanapotea. Naye,Askofu wa kanisa hilo la Kiinjili la Kilutheri… Continue reading ULEVI KWA VIJANA KILIMANJARO WAWATISHA VIONGOZIDiscoverCars.com

Please disable your adblocker or whitelist this site!

         banner