6 COMMON MISTAKES MEN MAKE IN BED

Men make lots of these mistakes in bed and it’s really important we always talk about until these mistakes become a thing of the past. I had to write about this after a reader sent a message complaining about the mistakes her man keeps making in bed and how he won’t learn. Keep on reading… Continue reading 6 COMMON MISTAKES MEN MAKE IN BED

Wakuu wa nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki wamemteua Mhe.Veronica Mueni Nduva kutoka Jamhuri ya Kenya kuwa Katibu Mkuu mpya wa Jumuiya ya Afrika Mashariki.

Mabadiliko hayo katika Sekretarieti ya EAC yamefanyika baada kuondolewa kwa Peter Mathuki Machi 8, ambaye anashutumiwa katika mambo mbali mbali hasa matumizi mabaya ya madaraka. Rais Ruto alimwita Mathuki nyumbani na kumteua kuwa Balozi wa Kenya nchini Urusi. Mkutano huo umefanyika wakati ukanda wa Afrika Mashariki ukikabiliwa na uhaba mkubwa wa pesa. Mwezi uliopita, Mahakama… Continue reading Wakuu wa nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki wamemteua Mhe.Veronica Mueni Nduva kutoka Jamhuri ya Kenya kuwa Katibu Mkuu mpya wa Jumuiya ya Afrika Mashariki.

Klabu ya Singida Black Stars (zamani Ihefu Fc) imethibitisha kuingia makubaliano na aliyekuwa kocha wa Simba Sc, kocha Kocha Patrick Aussems raia wa Ubeligiji kuwa Kocha Mkuu klabuni hapo kuanzia msimu mpya wa 2024/25 kwa kandarasi ya awali ya msimu mmoja mpaka tarehe 30 Juni 2025.

Patrick Aussems ni Kocha mwenye leseni ya UEFA PRO na uzoefu wa kufundisha vilabu vikubwa barani Africa, Ulaya na Asia, zikiwemo timu za Al Hilal Omdurman (Sudan), Simba SC (Tanzania), AFC Leaopards (Kenya), Shenzhen Ruby (China), ETG (Evian Thonon STARS Ward) FC & Angers SCO FC France. Pia ameafundisha timu za taifa mbalimbali zikiwemo za… Continue reading Klabu ya Singida Black Stars (zamani Ihefu Fc) imethibitisha kuingia makubaliano na aliyekuwa kocha wa Simba Sc, kocha Kocha Patrick Aussems raia wa Ubeligiji kuwa Kocha Mkuu klabuni hapo kuanzia msimu mpya wa 2024/25 kwa kandarasi ya awali ya msimu mmoja mpaka tarehe 30 Juni 2025.

KWANINI PAUL KAGAME ANAMHOFIA DIANE RWIGARA?

SIASA Mwanasiasa wa upinzani nchini Rwanda Diane Rwigara ameondolewa kinyang’anyiro cha urais kwa kutotimiza vigezo vya Tume ya Uchaguzi ya nchi hiyo. Kwa mujibu wa Mwenyekiti wa Tume hiyo Oda Gasinzigwa, Rwigara pamoja na kuwa na vitambulisho ghushi vya wafuasi wake pia alishindwa kuwasilisha hati ya rekodi ya uhalifu. ”Rwigara Shima Diane, badala ya hati… Continue reading KWANINI PAUL KAGAME ANAMHOFIA DIANE RWIGARA?

An autopsy has suggested that a drug reaction may have led to the death of Mohbad.

According to the findings of an autopsy conducted at LASUTH the report, obtained on thursday, sheds light on the potential cause of the artist’s untimely demise. Following Mohbad’s death, a comprehensive toxicology test was carried out using samples from various parts of the body, including the stomach, blood, bone marrow, liver, kidneys, and lungs. During… Continue reading An autopsy has suggested that a drug reaction may have led to the death of Mohbad.

TP OK JAZZ MEMBERS WHO ARE STILL ALIVE

TP OK JAZZ MEMBERS WHO ARE STILL ALIVE:

WHAT MEN ACCUSE WOMEN OF WHEN IT COMES TO SEX

LOVE ❤ 1. Many women dress up for the public but they don’t put as much effort to dress up for their husband in bed. Lady, your number one audience is your man 2. Many women complain that their husbands don’t sex them good, yet they do not express what they want their husbands to… Continue reading WHAT MEN ACCUSE WOMEN OF WHEN IT COMES TO SEX

Orodha ya washindani wa Paul Kagame uchaguzi mkuu nchini Rwanda

SIASA Tume Huru ya uchaguzi nchini Rwanda imewaidhinisha watu watatu katika kuwania kiti cha Urais katika uchaguzi mkuu ujao mwezi Julai. Paul Kagame kutoka chama cha FPR , Frank Habineza wa chama cha Democratic Green Party na Philippe Mpayimana mgombea binafsi ndio walioidhinishwa na tume huye licha ya Rais Paul Kagame kupewa nafasi kubwa na… Continue reading Orodha ya washindani wa Paul Kagame uchaguzi mkuu nchini Rwanda

9 REASONS WHY MARRIAGE IS NOT A COMPETITION

Remember: Every couple has a unique way of handling relationships that cannot be competing with others. I hope these will be the best guide for us to eliminate misunderstandings and conflicts in the family.

Mwanaharakati na Mchambuzi wa masuala mbalimbali ya kijamii na kisiasa Godlisten Malisa anashikiliwa na Jeshi la Polisi ikiwa ni muda mfupi baada ya kuahirishwa kwa kesi inayowakabili yeye na aliyekuwa Meya wa Ubungo, Boniface Jacob katika mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, jijini Dar es salaam.

Taarifa za awali zinaeleza kwamba Jeshi la Polisi limemkamata Malisa kwa kile walichodai ana shtaka jipya Mkoani Kilimanjaro na hivyo Jeshi hilo limeanza safari ya kumpeleka Mkoani humo ili kuendelea na hatua zingine. Mkurugenzi wa Itifaki, Uenezi wa Mambo ya Nje ya CHADEMA, John Mrema amesema “Ni kweli Askari polisi wamemkamata Malisa baada ya kesi… Continue reading Mwanaharakati na Mchambuzi wa masuala mbalimbali ya kijamii na kisiasa Godlisten Malisa anashikiliwa na Jeshi la Polisi ikiwa ni muda mfupi baada ya kuahirishwa kwa kesi inayowakabili yeye na aliyekuwa Meya wa Ubungo, Boniface Jacob katika mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, jijini Dar es salaam.

Please disable your adblocker or whitelist this site!

         banner