Don Jazzy responds to intimate pictures of Ayra Starr with a man ,discloses his identity

Don Jazzy responds to intimate pictures of Ayra Starr with a man, discloses his identity. Don Jazzy, the head of music label Mavins Records, has disclosed the identity of the man pictured with his artist Ayra Starr in recent viral photos. Ayra Starr, the talented musician behind the hit album ‘Year I turned 21’,, caused… Continue reading Don Jazzy responds to intimate pictures of Ayra Starr with a man ,discloses his identity

SERIKALI YA TANZANIA KUPANUA BANDARI YA DAR ES SALAAM

Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania inaangalia namna ya kufanya upanuzi wa Bandari ya Dar es Salaam ili kuendana na ongezeko la mizigo inayohudumiwa baada ya baadhi ya wamiliki wa migodi kutoka nchi jirani kuonyesha nia ya kuanza kutumia Bandari ya Dar es Salaam na Kigoma kwa ajili ya kusafirisha mizigo yao. Mkurugenzi wa… Continue reading SERIKALI YA TANZANIA KUPANUA BANDARI YA DAR ES SALAAM

PETER MSIGWA ASHTUKA KUCHEZEWA RAFU UCHAGUZI NDANI YA CHADEMA

Baada ya Siku chache kupita tangu Joseph Mbilinyi (Sugu) kutangazwa kuwa Mshindi wa nafasi ya Uenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA kanda ya Nyasa. Mapema leo June 3, 2024 Aliyekuwa Mgombea wa Kanda ya Nyasa, Mchungaji Peter Msigwa ametangaza kukata rufaa ya kupinga matokeo hayo akidai kuwa Mchakato wa Uchaguzi huo haukuwa halali… Continue reading PETER MSIGWA ASHTUKA KUCHEZEWA RAFU UCHAGUZI NDANI YA CHADEMA

HOW NOT TO TALK TO YOUR SPOUSE

Aliyekuwa mgombea wa kanda ya Nyasa ya Chadema, Mchungaji Peter Msigwa amekata rufaa katika chama hicho, akidai ushindi alioupata Joseph Mbilinyi ‘Sugu’ haukuwa halali na kulikuwa na mbinu chafu dhidi yake.

Akizungumza na waandishi wa habari leo Jumatatu Juni 3, 2024 Mkoani Iringa, Msigwa ameonesha kutokubaliana na matokeo akidai kuwa hawezi kushindwa uchaguzi. “Mimi siwezi kushindwa, mimi uchaguzi huu (Uchaguzi wa uongozi wa CHADEMA kanda ya Nyasa) sikushindwa, tumemchagua mwenyekiti wa uchaguzi anaitwa Ayubu Sikagonamo ni mwenyekiti wa wilaya kule wilaya ya Momba alikuwa timu yetu… Continue reading Aliyekuwa mgombea wa kanda ya Nyasa ya Chadema, Mchungaji Peter Msigwa amekata rufaa katika chama hicho, akidai ushindi alioupata Joseph Mbilinyi ‘Sugu’ haukuwa halali na kulikuwa na mbinu chafu dhidi yake.

Davido went on his social media account to warn that he would take action against anyone with malicious plans towards him

“Anybody wey do me bad go collect this year one by one just Dey watch … e don start already”– Singer Davido promises to take action against those who mistreat him. Davido, the sensational Nigerian Afrobeat music icon, has once again captured the spotlight with his latest tweet addressing those who mistreat him. Davido went… Continue reading Davido went on his social media account to warn that he would take action against anyone with malicious plans towards him

Rais Samia Suluhu Hassan ametunukiwa shahada ya Udaktari

Rais Samia Suluhu Hassan ametunukiwa Shahada ya Udaktari wa Heshima (Honoris Causa) kwenye sekta ya anga, iliyotolewa na Chuo Kikuu cha Anga cha Korea Kusini. Akizungumza mara baada ya kutunukiwa shahada hiyo Rais Samia amesema Tanzania inatambua umuhimu wa sekta ya usafiri wa anga na kwamba jiografia imekuwa msingi wa kukuza sekta ya usafiri wa… Continue reading Rais Samia Suluhu Hassan ametunukiwa shahada ya Udaktari

10 SIGNS OF A TRUE GIRLFRIEND 💌🤝💐🌹

What to whisper to your wife

Why do all this? Because women fall in love with a man’s words and stay in love by his actions. Do this also because she is your flower and it is your role as her man to water her with words that she will hold dear to her heart

7 AGREEMENTS YOU MUST DO BEFORE YOUR RELATIONSHIP CAN WORK

You need to agree on mode of communication and how to make most of the calls and chats each other. I suggest the call and chatting should be balanced. Empty pocket won’t buy Airtime and subscribe for data. If you are the only one who initiates all the calls, chats or visit, then your relationship… Continue reading 7 AGREEMENTS YOU MUST DO BEFORE YOUR RELATIONSHIP CAN WORK

Please disable your adblocker or whitelist this site!

         banner