TATIZO LA SIMU KUJIZIMA UNAPOWEKA SIKIONI

𝗧𝗮𝘁𝗶𝘇𝗼 𝗹𝗮 𝘀𝗶𝗺𝘂 𝗸𝘂𝗷𝗶𝘇𝗶𝗺𝗮 𝘂𝗻𝗮𝗽𝗼𝘄𝗲𝗸𝗮 𝘀𝗶𝗸𝗶𝗼𝗻𝗶 𝘀𝗵𝗶𝗱𝗮 𝗡𝗶𝗻𝗶 ?? Umeshawahi kuona simu yako unapoweka sikioni wakati umepigiwa au unasikiliza voice note inajizima ? Je shida inakuwaga Nini unakuta mtu kakupigia simu unaweka sikioni kioo kinazima. Lazima ujue kwenye simu yako Kuna kitu kinaitwa 𝗣𝗿𝗼𝘅𝗶𝗺𝗶𝘁𝘆 𝗦𝗲𝗻𝘀𝗼𝗿,ni ki hardware kidogo ambacho kinapatikana kwenye simu. Kimeundwa kwa kutumia… Continue reading TATIZO LA SIMU KUJIZIMA UNAPOWEKA SIKIONI

FAHAMU JINSI YA KUUNGANISHA SIMU MOJA KWENDA NYINGINE

𝗙𝗮𝗵𝗮𝗺𝘂 𝗷𝗶𝗻𝘀𝗶 𝘆𝗮 𝗸𝘂 𝗱𝗶𝘃𝗲𝗿𝘁 𝗦𝗶𝗺𝘂 𝗠𝗼𝗷𝗮 𝗸𝘄𝗲𝗻𝗱𝗮 𝗸𝘄𝗶𝗻𝗴𝗶𝗻𝗲 ? Unajua Kuna wakati unakuta uko mbali na simu yako kwa njia Moja hama nyingine unataka mtu akikupigia basi asipokupata kwenye namba Moja akupate kwenye namba nyingine ? Ila watu wengi wanaitumia ndivyo sivyo kwani wanaitumia kufuatilia mtu mawasiliano ya watu wao wa karibu 😔 !!… Continue reading FAHAMU JINSI YA KUUNGANISHA SIMU MOJA KWENDA NYINGINE

CHANZO KIKUU CHA TATIZO LA HARUFU MBAYA UKENI NA TIBA YAKE

HARI YA ACID YA UKE (VAGINA PH)PH ni kipimo cha kuonesha jinsi gani kitu Fulani kilivyo na kiasi cha acid au nyongo (base).Kipimo hiki kina viwango 1 mpaka 14.Kiwango cha PH chini ya 7 inamaana hicho kitu kina ACID na juu ya 7 Ina maan hicho kitu ni nyongo (base).Maji yenyewe huwa ni neutral yana… Continue reading CHANZO KIKUU CHA TATIZO LA HARUFU MBAYA UKENI NA TIBA YAKE

AIPONGEZA MAHAKAMA KWA KUHUKUMIWA KIFUNGO CHA MAISHA JELA

Mfanyabiashara aliyekuwa akimiliki kiwanda bunu cha kutengeneza na kusambaza pombe kali bandia, Frank Donatus Mrema na wenzake wawili aliokuwa amewaajiri katika kiwanda hicho, wamehukumiwa adhabu ya kifungo cha maisha jela, huku mmoja akimwaga shukrani kwa Mungu na Mahakama baada ya kutiwa hatiani. Frank na wenzake hao, Faham Salim Ngoda na Issa na Issa Juma Hassan… Continue reading AIPONGEZA MAHAKAMA KWA KUHUKUMIWA KIFUNGO CHA MAISHA JELA

President Tinubu has approved the transition from the current national anthem “Arise O Compatriots “,back to its previous version, “Nigeria we Hail Thee”

Bola Tinubu, the ex-governor of Lagos State and the current President of Nigeria, has proposed a captivating idea of replacing Nigeria’s national anthem “Arise O Compatriots” with the uplifting anthem “Nigeria, We Hail Thee.” President Tinubu has approved the transition from the current national anthem, “Arise O Compatriots,” back to its previous version, “Nigeria, We… Continue reading President Tinubu has approved the transition from the current national anthem “Arise O Compatriots “,back to its previous version, “Nigeria we Hail Thee”

Vladimir Putin amezionya nchi za Magharibi kuacha mpango wa kuipa Ukraine Silaha za kuishambulia Urusi

Kauli ya Rais wa Urusi, Vladmir Putin ya kusema kutakuwa na madhara makubwa iwapo nchi za Magharibi zitairuhusu Ukraine kutumia silaha zao kuyapiga maeneo ndani ya Urusi, huku akizionya nchi ndogo barani Ulaya kufahamu zinachokichezea kutokana na kuwa na maeneo madogo na idadi kubwa ya watu, inadaiwa imechangia mgawanyiko wa kimaamuzi wa Umoja Mawaziri wa… Continue reading Vladimir Putin amezionya nchi za Magharibi kuacha mpango wa kuipa Ukraine Silaha za kuishambulia Urusi

JOSEPH MBILINYI “SUGU” AMBWAGA PETER MSIGWA

Mbunge wa zamani wa Mbeya Mjini Joseph Mbilinyi maarufu Sugu ametangazwa Mshindi kwenye uchaguzi wa kumtafuta Mwenyekiti wa CHADEMA Kanda ya Nyasa ambapo amemuangusha aliyekuwa anatetea kiti hicho, Mchungaji Peter Msigwa. Matokeo ya uchaguzi huo uliofanyika leo May 29,2024 katika Mji wa Makambako Mkoani Njombe yametangazwa usiku huu baada ya Wajumbe wa Mkutano Mkuu wa… Continue reading JOSEPH MBILINYI “SUGU” AMBWAGA PETER MSIGWA

Darey Art Alade snubs Davido as he reveals his top 3 favourite Nigerian musicians

Darey Art Alade, a famous Nigerian musician, stirred controversy on the internet by naming his top 3 Nigerian artists in a recent interview. Darey Art Alade recently caused a stir on social media by revealing his top 3 Afrobeats artistes in a new video, where he notably left out Davido. This revelation came during an… Continue reading Darey Art Alade snubs Davido as he reveals his top 3 favourite Nigerian musicians

“Broke Girls and Cho cho cho”–filmmaker Pink criticizes famous influencer Saida BOJ for her recent remarks directed toward ladies.

Director Pink, a renowned Nigerian music video director, has strongly criticized Saida BOJ, following her appearance on “The Honest Bunch” podcast. It is worth noting that during an “Honest Bunch,” which was hosted by media personality Nedu and other contributors of the podcast. Saida BOJ generated significant attention when she revealed her policy of having… Continue reading “Broke Girls and Cho cho cho”–filmmaker Pink criticizes famous influencer Saida BOJ for her recent remarks directed toward ladies.

MIGUEL GAMONDI ATAJA SIRI YA KUTWAA UBINGWA WA LIGI YA TANZANIA

Kocha wa Young Africans, Miguel Gamondi amejinasibu kuwa mafanikio waliyoyapata msimu huu ni kutokana na ubora wa wachezaji walionao. Na kikosi chake kilikuwa bora kwenye maeneo yote na ubora wao ni mkubwa ukilinganisha na wengine. “Tulikuwa na msimu bora, tumefunga mabao mengi tumekuwa timu bora kwenye kushambulia timu bora kwenye ulinzi. Tumekuwa bora, nafikiri tumekuwa… Continue reading MIGUEL GAMONDI ATAJA SIRI YA KUTWAA UBINGWA WA LIGI YA TANZANIA

Please disable your adblocker or whitelist this site!

         banner