Ni mazingira yapi Rais wa Tanzania anaweza kulivunja Bunge ?

Kwa mujibu wa Ibara ya 90(2) ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Rais wa Tanzania atavunja Bunge, kunapotokea kati ya yafuatayo; (a) Kama Bunge limemaliza muda wa uhai wake kwa mujibu wa ibara ya 65 ya Katiba au wakati wowote katika miezi kumi na miwili ya mwisho ya uhai wa Bunge, isipokuwa tu… Continue reading Ni mazingira yapi Rais wa Tanzania anaweza kulivunja Bunge ?

THINGS YOU MUST DISCUSS IN COURTSHIP

MIKE TYSON AKIRI KWASASA YUKO VIZURI BAADA YA KUUGUA

Mwana-Masumbwi mkongwe Mike Tyson (58), ameripotiwa kuugua juzi akiwa kwenye Ndege akitokea Miami kuelekea jijini Los Angeles. Kwa mujibu wa msemaji wake, bingwa huyo wa zamani wa ndondi alianza kujisikia vibaya takribani dakika 30 kabla ya kutua. Mara tu baada ya kutua alipokelewa na timu ya wauguzi na kwa sasa hali yake inaendelea vizuri. Mwaka… Continue reading MIKE TYSON AKIRI KWASASA YUKO VIZURI BAADA YA KUUGUA

Bilionea Larry Connor aandaa mpango wa kuzama baharini kuyaona masalia ya meli ya Titanic

Bilionea Larry Connor wa Marekani anajipanga kwenda chini ya Bahari kwa kutumia Manowari licha ya ajali mbaya iliyotokea Juni 2023 ambapo watu watano walifariki dunia. Connor, atasafiri kwa kutumia Manowari yenye uwezo wa kubeba watu wawili, lengo lake ni kufikia eneo yalipo mabaki ya meli ya Titanic iliyozama mwaka 1912. Muwekezaji huyo amesema “nimenuia kuionyesha… Continue reading Bilionea Larry Connor aandaa mpango wa kuzama baharini kuyaona masalia ya meli ya Titanic

MAGAZETI YA LEO 29 MEI 2024

WHY A CHEATING WOMAN IS MORE DANGEROUS THAN POISON

A CHEATING WOMAN IS MORE DANGEROUS THAN POISON A man can cheat on his woman and still love her but a woman cannot cheat on her man and still love him. I say this because while men do not have sex with emotions, women can’t have sex without attaching emotions to it. This is the… Continue reading WHY A CHEATING WOMAN IS MORE DANGEROUS THAN POISON

BENJAMIN NETANYAHU KUENDELEZA VITA DHIDI YA HAMAS

Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu ameapa kuendeleza vita dhidi ya Hamas huku kukiwa na shutuma za kimataifa kuhusu shambulizi la anga lililoua Wapalestina wengi mjini Rafah siku ya Jumapili. Ambapo takriban watu 45 waliuawa, kwa mujibu wa wizara ya afya inayoendeshwa na Hamas, huku mamia ya wengine wakipatiwa matibabu kutokana na majeraha ya moto,… Continue reading BENJAMIN NETANYAHU KUENDELEZA VITA DHIDI YA HAMAS

Stephan Aziz ki kinara wa mabao ligi kuu ya Tanzania

Kiungo Stephan Aziz Ki amemaliza kinara wa ufungaji kwenye ligi kuu soka Tanzania Bara baada ya kumaliza msimu akiwa na mabao 21 na kumuacha mpinzani wake wa karibu kiungo nyota wa Azam FC, Feisal Salum aliyemaliza na mabao 19 Aziz Ki amepachika mabao matatu kwenye ushindi wa 4-1 walioupata Yanga SC mbele ya Tanzania Prisons… Continue reading Stephan Aziz ki kinara wa mabao ligi kuu ya Tanzania

GARI LA KAMPUNI YA KILIMANJARO KUUZWA

Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kinondoni, Mtatiro Kitinkwi ameiahidi mahakama kutoa ushirikiano ili kukamatwa kwa basi la Kampuni ya Mabasi ya Kilimanjaro (Kilimanjaro Express) lenye namba T 178 EAU, baada ya kusababisha kifo cha Immaculate Kisena (16) aliyekuwa mwanafunzi wa kidato cha tano. Kitinkwi amefika katika Mahakama Kuu, Kanda la Dar es Salaam, baada ya… Continue reading GARI LA KAMPUNI YA KILIMANJARO KUUZWA

HISTORIA YA Dokta Reginald MENGI KWA UFUPI

Dr. Mengi alizaliwa katika kijiji cha Nkuu huko Machame, Kilimanjaro, Tanzania. Baba yake Mr. Abhraham Mengi alizaliwa Marangu, Kilimanjaro, Tanzania lakini baada ya babu yake kufariki ilitokea mivutano juu ya urithi hasa kwenye masuala ya ardhi alilazimika kuhamia Machame ambapo napo licha ya kukutana na changamoto nyingi lakini aliweza kukaa akatulia. Baba yake Mzee Abraham… Continue reading HISTORIA YA Dokta Reginald MENGI KWA UFUPI

Please disable your adblocker or whitelist this site!

         banner