15 COSTLY MISTAKES THAT WIVES MAKE

Rais Jakaya Kikwete kinara wa kutafuta fedha za uwekezaji kwenye Elimu

Rais Mstaafu Dkt. Jakaya Kikwete kwa nafasi yake ya Mwenyekiti wa Bodi ya Taasisi ya Ubia wa Elimu Duniani (GPE) ameshiriki Mkutano wa Mwaka 2024 wa Benki ya Maendeleo ya Afrika (AfDB 2024 Annual Meeting) unaofanyika jijini Nairobi, Kenya tarehe 26 – 28 Mei, 2024. Ametumia fursa ya kushiriki Mkutano huo kuzungumza na vongozi mbalimbali,… Continue reading Rais Jakaya Kikwete kinara wa kutafuta fedha za uwekezaji kwenye Elimu

Which is the contract between Enzo Moresca and Chelsea

He will sign a 5-year contract! Despite the fact that many well-known insiders reported that Enzo Mareschi’s contract with London’s Chelsea would be for 3 years, The Athletic journalist David Ornstein denied this information. “Negotiations are underway, everything is very fast and soon we should find out the name of the new Chelsea head coach.… Continue reading Which is the contract between Enzo Moresca and Chelsea

NANI KUWA MFUNGAJI KATI YA AZIZ KI NA FEISAL SALUM?

Leo jioni tutajua nani Mfungaji bora wa Ligi Kuu Bara msimu huu, Mchuano uko kwa nyota wawili Stephane Aziz KI wa Yanga SC na Feisal Salum wa Azam FC. Mchuano sio mdogo. Kila mmoja ameshafunga mabao 18. Yanga SC watakuwa katika Uwanja wa Azam Complex Chamazi kucheza dhidi ya Tanzania Prisons kutoka Mbeya. Mchezo huu… Continue reading NANI KUWA MFUNGAJI KATI YA AZIZ KI NA FEISAL SALUM?

Nchini Korea Kaskazini kama “Birthday” yako ni tarehe 8 Julai au 17 Desemba basi huna bahati, kwani hairuhisiwi kusherehekea siku yako ya kuzaliwa.

Sababu kubwa ni kwamba tarehe hizo Baba wa Taifa hilo “Kim Il-Sung” na “Kim Jong-Il” walifariki, hivyo ni onyo kuonesha dalili yoyote ya furaha kama ni siku yako ya kuzaliwa. “Kim Il-Sung” ndiye Mwanzilishi wa Nchi ya Korea Kaskazini Mnamo mwaka 1948, pia alikuwa Kiongozi Mkuu (Supreme Leader) wa kwanza wa nchi hiyo Kuanzia Mwaka… Continue reading Nchini Korea Kaskazini kama “Birthday” yako ni tarehe 8 Julai au 17 Desemba basi huna bahati, kwani hairuhisiwi kusherehekea siku yako ya kuzaliwa.

HOW TO CAUSE EARTHQUAKES IN YOUR SPOUSE’S BODY

Be the earthquaker

WHAT YOU MUST DO BEFORE YOUR RELATIONSHIP CAN WORK

You need to agree on mode of communication and how to make most of the calls and chats each other. I suggest the call and chatting should be balanced. Empty pocket won’t buy Airtime and subscribe for data. If you are the only one who initiates all the calls, chats or visit, then your relationship… Continue reading WHAT YOU MUST DO BEFORE YOUR RELATIONSHIP CAN WORK

WHAT EVERY WOMAN NEEDS TO KNOW ABOUT HERSELF

FACTS ABOUT LIFE THAT CAN NOT BE DISPUTED

4.If you want to go far in life, train your heart to accept disappointments, even if it comes from those you trusted. Because every disappointment has a reason. 12.Life is a teacher, the more you live the more you learn The meaning of true love from a man. I hate to say this but most… Continue reading FACTS ABOUT LIFE THAT CAN NOT BE DISPUTED

Mshambuliaji wa Manchester United, Anthony Martial (28) amethibitisha kuondoka ndani ya kikosi hicho baada ya msimu huu kumalizika wiki iliyopita, huku akiiandikia timu hiyo ujumbe mzito.

Martial raia wa Ufaransa kupitia ukurasa wake wa Instagram ameandika kuwa “Kwenu mashabiki wa Manchester United, ni kwa majonzi makubwa kuwaandikia leo kuwaaga na kusema kwaherini. “ Baada ya miaka tisa kuwa pamoja katika klabu, wakati umefika wa mimi kuondoka na kufungua ukurasa mpya katika taaluma yangu hii ya Soka. Tangu nilipojiunga klabuni mwaka wa… Continue reading Mshambuliaji wa Manchester United, Anthony Martial (28) amethibitisha kuondoka ndani ya kikosi hicho baada ya msimu huu kumalizika wiki iliyopita, huku akiiandikia timu hiyo ujumbe mzito.

Please disable your adblocker or whitelist this site!

         banner