Rais wa zamani wa Marekani Donald Trump ametangaza kuwa ana uhakika wa ushindi katika Mdahalo wake utakaofanyika Juni 27 dhidi ya Rais wa sasa wa taifa hilo Joe Biden.

Watu wa karibu wa Trump wanaamini hata kama Trump atashinda katika Mdahalo huo, lakini waendesha mashtaka wa Serikali watamjia juu kutokana na mashtaka yanayomkabili dhidi ya utakatishaji Fedha na Rushwa. Trump analishinikiza Baraza la Wabunge nchini humo kuunda Sheria ya usalama kwa viongozi wa juu wa taifa hilo. Trump amekuwa akizungumza na Wabunge wa GOP… Continue reading Rais wa zamani wa Marekani Donald Trump ametangaza kuwa ana uhakika wa ushindi katika Mdahalo wake utakaofanyika Juni 27 dhidi ya Rais wa sasa wa taifa hilo Joe Biden.

Mohbad’s father allege Bella Shmurda of covering up for Wunmi

Mohbad’s father has made a stunning revelation about Bella Shmurda’s involvement in his son’s burial and the ongoing paternity dispute with Wunmi, Mohbad’s girlfriend. In a recent interview with Kemi Olunloyo, Mohbad’s father claims that Bella Shmurda had reached out to him, pleading to proceed with Mohbad’s burial arrangements. However, Mohbad’s father insisted that Wunmi… Continue reading Mohbad’s father allege Bella Shmurda of covering up for Wunmi

Business tycoon BLord stirred up a whirlwind of reactions across various online platforms with the news of his impending nuptials to a second wife.

Humanitarian and business tycoon, William Linus, popularly known as BLord, has set the internet ablaze with his recent announcement of planning to tie the knot with a second wife. BLord dropped the bombshell on his Instagram, posting pics of him popping the question to a new lady. This news comes hot on the heels of… Continue reading Business tycoon BLord stirred up a whirlwind of reactions across various online platforms with the news of his impending nuptials to a second wife.

BUSINESS STRATEGIES TO MAKE MORE MONEY

Consider implementing the following strategies if you want to make more money: AMP UP YOUR MARKETING EFFORTS:Invest in creative and targeted marketing campaigns to reach a wider audience. Utilize digital marketing channels such as social media, content marketing, email marketing, and search engine optimization to enhance brand visibility and generate more leads. FOCUS ON CUSTOMER… Continue reading BUSINESS STRATEGIES TO MAKE MORE MONEY

SEXUAL SECRETS OF WOMEN THAT WANT TO SNATCH YOUR HUSBAND WHICH YOUR RELIGIOUS LIFE HAS NOT ALLOWED YOU TO DO

Lots of women are losing their husbands to strange women out there and most women are yet to know what these men see in these women that make them get glued to them even though they know that these women are more expensive and most are full of sexually transmitted diseases. Hi wives, you need… Continue reading SEXUAL SECRETS OF WOMEN THAT WANT TO SNATCH YOUR HUSBAND WHICH YOUR RELIGIOUS LIFE HAS NOT ALLOWED YOU TO DO

Mtibwa Sugar imeshuka daraja rasmi toka Ligi Kuu ya NBC kwenda ligi ya Championship msimu ujao.

Walima miwa hao wa Morogoro wameshuka daraja baada ya kufungwa magoli 3-2 na Mashujaa FC ya Kigoma kwenye dimba la Lake Tanganyika. Mtigwa Sugar ilipanda daraja mwaka 1995, hivyo imecheza ligi kuu kwa misimu 29. Ilibeba taji la Ligi Kuu mwaka 1999 na mwaka 2000, pia mwaka 2018 walichukua ubingwa wa Kombe la Shirikisho na… Continue reading Mtibwa Sugar imeshuka daraja rasmi toka Ligi Kuu ya NBC kwenda ligi ya Championship msimu ujao.

Mwenyekiti wa Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT-CCM) Taifa, Mary Chatanda amekemea vikali kauli za udhalilishaji kwa watumishi wa umma wanawake zinazotolewa na baadhi ya viongozi wa serikali nchini.

Amegusia klipu moja ya video ikihusu majibishano ya mkuu mmoja wa mkoa na mtumishi mmoja mwanamke ambayo majibu ya bosi huyo wa mkoa kwamba “hii si kitchen party”, “hapa hutafuti mchumba” ameyatafsiri kama yaliyolenga kumdhalilisha kutokana na jinsi yake. Chatanda ametoa rai kwa viongozi wa serikali katika ngazi mbalimbali kuzingatia sheria, kanuni, na miongozo mbalimbali… Continue reading Mwenyekiti wa Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT-CCM) Taifa, Mary Chatanda amekemea vikali kauli za udhalilishaji kwa watumishi wa umma wanawake zinazotolewa na baadhi ya viongozi wa serikali nchini.

Manchester United wamefanikiwa kutwaa ubingwa wa kombe la FA baada ya kuwakanda 2-1 mahasimu wao kutoka katika jiji la Manchester, klabu ya Manchester City kwenye fainali iliyopigwa kwenye dimba la Wembley

Mabao ya kipindi cha kwanza kutoka kwa Alejandro Garnacho na Kobie Maino yaliwahakikishia United taji hilo muhimu licha ya City kufufuka kipindi cha pili cha mchezo huo. Taji hilo limewahakikishia Man United tiketi ya kushiriki michuano ya ligi ya Uropa msimu ujao licha ya kumaliza wa nane kwenye msimamo wa ligi kuu ya kandanda nchini… Continue reading Manchester United wamefanikiwa kutwaa ubingwa wa kombe la FA baada ya kuwakanda 2-1 mahasimu wao kutoka katika jiji la Manchester, klabu ya Manchester City kwenye fainali iliyopigwa kwenye dimba la Wembley

How Jesus nonchalantly stood aside while my enemies came for me – Bovi

Nigerian comedian and actor, Bovi Ugboma narrates life struggles and how he singlehanded fought against two enemies who almost overcame him. In a post on his Instagram page, he recounted how Jesus seemingly stood by as he faced an attack from the forces of hell. Bovi disclosed that he once had two extremely powerful enemies,… Continue reading How Jesus nonchalantly stood aside while my enemies came for me – Bovi

I’m looking forward to Oscar nomination -Kehinde Bankole

Actress, Kehinde Bankole, who recently clinched the Best Lead Actress Award at the 10th edition of the Africa Magic Viewers Choice Awards for her role in the movie, ‘Adire’, has expressed her desire to get an Academy Awards (popularly known as the Oscars). She told Saturday Beats, “I will like an Oscar nomination. Every actor… Continue reading I’m looking forward to Oscar nomination -Kehinde Bankole

Please disable your adblocker or whitelist this site!

         banner