Rais wa Kenya William Ruto, anayetamatiza ziara yake ya siku nne nchini Marekani, amesema, yeye ndiye aliyeamua polisi wa nchi yake kwenda nchini Haiti, na wala sio Marekani.

Ruto ameitoa kauli hii mbele ya rais Biden, kujibu madai kuwa Kenya, imesukumwa na Marekani kuwapeleka polisi wake zaidi ya Elfu 1 kusaidia kurejesha utulivu jijini Port au Prince. Kutumwa kwa polisi wa Kenya kuongoza kikosi cha Kimataifa kusaidia kuleta utulivu nchini Haiti, unakabiliwa na upinzani kutoka Mahakamani, kutokana na chama cha upinzani cha Third… Continue reading Rais wa Kenya William Ruto, anayetamatiza ziara yake ya siku nne nchini Marekani, amesema, yeye ndiye aliyeamua polisi wa nchi yake kwenda nchini Haiti, na wala sio Marekani.

How To Choose A Wife/Husband – Dr. Myles Munroe

In choosing a spouse, you must possess and check out for the presence of these 8 traits. They increase the chances of you both being able to live together successful

WIMBO MPYA WA ZUCHU “SIJI”

TAZAMA WIMBO MPYA WA ZUCHU “SIJI”

ERIC TEN HAG KUTIMULIWA MANCHESTER UNITED

Tangu mwaka 1990 miaka 34 sasa Klabu ya Manchester United haijawahi kumaliza Ligi Kuu ya Uingereza ikiwa nafasi ya chini ya kushindwa kushiriki michaano ya klabu bingwa Ulaya ambapo katika msimu huo wa 1989/1990 walimaliza wakiwa nafasi ya 13. Kwa mujibu wa gazeti la The Guardian, wamiliki wenza wa United, Sir Jim Ratcliffe na Ineos… Continue reading ERIC TEN HAG KUTIMULIWA MANCHESTER UNITED

21 BEST TOUCHES FOR YOUR SPOUSE

Hatimaye Rais wa Klabu ya FC Barcelona Joan Laporta amemfuta kazi kocha mkuu wa klabu hiyo Xavi Hernandez

Xavi ametimuliwa klabuni hapo wiki chache tu baada ya kushawishiwa kubadili uamuzi wake wa kujiuzulu kuifundisha timu hiyo alioutangaza katikati ya msimu Meneja wa zamani wa Bayer Munich na timu ya Taifa ya Ujerumani Hansi Flick tayari amesaini kuchukua mikoba ya Xavi na meneja huyo ataambatana na wasaidizi wake wawili kutoka Ujerumani

Uongozi wa Mabingwa wa Ligi Kuu Tanzania Bara Young Africans, umesema unapambana kumshawishi Kiungo kutoka nchini Burkina Faso Stephanie Aziz Ki, ili asaini mkataba mpya wa kuendelea kuitumikia klabu hiyo.

Taarifa zilizopatikana jijini, Dar es Salaam zinasema Young Africans imefanya mazungumzo na nyota huyo lakini ameshindwa kukubali kusaini mkataba mpya kutokana na ofa mbalimbali alizonazo. Taarifa hizo zimeelendea kueleza kuwa mchezaji huyo ambaye kwa sasa anaongoza katika mbio za ufungaji bora Ligi Kuu Tanzania Bara msimu huu 2023/24, anasubiri kufanya uamuzi mwingine mapema mwezi ujao.… Continue reading Uongozi wa Mabingwa wa Ligi Kuu Tanzania Bara Young Africans, umesema unapambana kumshawishi Kiungo kutoka nchini Burkina Faso Stephanie Aziz Ki, ili asaini mkataba mpya wa kuendelea kuitumikia klabu hiyo.

Motsepe: Goli la Aziz Ki lilikuwa halali

Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Afrika (CAF), Patrice Motsepe amesema goli walilofunga Yanga SC dhidi ya Mamelodi Sundowns lililokataliwa lilikuwa halali. Motsepe amesema hayo leo visiwani Zanzibar alipowasili kwa ajili ya kushuhudia michezo ya fainali ya mashindano michuano ya soka kwa shule za Afrika (African Schools Football) ambazo zitachezwa leo katika Uwanja wa… Continue reading Motsepe: Goli la Aziz Ki lilikuwa halali

Kama ulikua huyajui Maajabu ya SHAHAWA kwa mwanamke wacha nikufahamishe;-Kama ulikua hujui shahawa za wanaume zina faida nyingi kwa Wanawake,Zifuatazo ni faida na Maajabu ya SHAHAWA kwa Wanawake;-

Hapa sina cha kuongeza sentesi yenyewe imekamilika.

Please disable your adblocker or whitelist this site!

         banner