Sean Combs “Diddy ” afunguliwa kesi ya unyanyasaji wa kingono

NYOTA WETU Rapa Sean Combs maarufu kama Diddy, anakabiliwa na kesi nyingine iliyofunguliwa na mwanamitindo wa zamani Crystal McKinney, mshindi wa zamani wa MTV’s 1998 ( Model Mission competition) , kesi iliyowasilishwa Jumanne katika mahakama ya shirikisho huko New York City. Kwa mujibu wa TMZ, Mwanamke huyo anadai kuwa rapa huyo alimshawishi kwa ahadi za… Continue reading Sean Combs “Diddy ” afunguliwa kesi ya unyanyasaji wa kingono

Profesa RWEKAZA MUKANDALA AFUNGUKA MAZITO YA MV BUKOBA

HABARI KUU Profesa Rwekaza Mukandala amesema kuzama kwa Mv. Bukoba kulitokana na sababu kadhaa, kubwa ikiwa ni meli kukosa ustahimilivu na kulala upande mmoja na kisha kuzama. Profesa Mukandala amesema hayo leo katika mhadhara wa uprofesa uliyofanyika katika Ukumbi wa Nkurumah uliopo Chuo Kikuu cha Dar es Salaam kwenye mafunzo ya kutoka katika kujifungua kwa… Continue reading Profesa RWEKAZA MUKANDALA AFUNGUKA MAZITO YA MV BUKOBA

Frateri wa Kanisa katoliki adaiwa kujinyonga

karibu Mtanzania popote pale ulipo kwenye asubuhi ya leo kwenye mbao za magazeti ya hivi leo popote pale ulipo kwenye Jamhuri yetu tukufu ya Tanzania.

Actress Toyin Abraham lovingly caresses her husband Kolawole’s neck in a romantic video shared online

CELEBRITIES Toyin Abraham, the renowned Nollywood star, has once again captured the hearts of her fans with a new social media post showcasing a touching moment with her husband, Kolawole Ajeyemi. In a touching video that will make singles long for their own love story, the celebrity duo openly displayed their love at Toyin’s latest… Continue reading Actress Toyin Abraham lovingly caresses her husband Kolawole’s neck in a romantic video shared online

Tems’ electrifying performance on”Fallon Tonight Show” captivated viewers, leaving them mesmerised by her exceptional stage presence

CELEBRITIES Nigerian music sensation Tems, whose stage name is Tems, has captivated audiences yet again with her mesmerizing dance performance on stage. Tems, known for her hits songs recently appeared on “The Tonight Show,” a late-night talk show hosted by Jimmy Fallon on NBC. Jimmy Fallon’s popular talk show typically features guests who share their… Continue reading Tems’ electrifying performance on”Fallon Tonight Show” captivated viewers, leaving them mesmerised by her exceptional stage presence

Chelsea yamfukuza Mauricio Pochettino

Klabu ya Chelsea imethibitisha kuachana na kocha wake, Mauricio Pochettino kwa makubaliano ya pande mbili mbili. “Chelsea, tungependa kutoa shukrani zetu kwa Mauricio kwa huduma yake msimu huu. Atakaribishwa tena Stamford Bridge wakati wowote na tunamtakia kila la heri katika maisha yake ya baadaye ya ukufunzi,” imesema taarifa ya klabu hiyo. Pochettino ameondoka na benchi… Continue reading Chelsea yamfukuza Mauricio Pochettino

WAYS TO TEST TRUE LOVE

LOVE TIPS ❤ 17 WAYS TO TEST TRUE LOVE I Love you! You love me! Is a common saying. Everyone want to be in Love but not everyone is ready to pay the price. To know whether it is true love or not. I will mention few ways to test true love. 1. Truth test… Continue reading WAYS TO TEST TRUE LOVE

Chelsea kumuuza Trevoh Chalobah

MICHEZO Klabu ya Chelsea iko tayari kumuuza Trevoh Chalobah kwa Pauni Milioni 25 msimu huu wa joto na inapania kutoa ofa kwa beki huyo mwenye umri wa miaka 24. Kwa mujibu wa Gazeti la Telegraph, Mchezaji huyo kutoka England alitakiwa na Tottenham, Bayern Munich na Nottingham Forest msimu uliopita wa joto. Pendekezo la kwanza kwa… Continue reading Chelsea kumuuza Trevoh Chalobah

Mohamed Salah aonyesha nia ya kusalia Liverpool

MICHEZO Mshambuliaji kutoka nchini Misri Mohamed Salah ameonesha nia ya kutaka kubaki Liverpool, licha kuhusishwa na mpango wa kutaka kuondoka mwishoni mwa msimu huu. Mshambukliaji huyo amekuwa akihusishwa na mpango wa kuhamia nchini Saudi Arabia, na ilielezwa mwanzoni mwa msimu wa 2023/24 alikaribia kujiunga na moja ya klabu zinazocheza Ligi ya nchi hiyo, ambayo inaendelea… Continue reading Mohamed Salah aonyesha nia ya kusalia Liverpool

Mwanzo Mwisho wa Maisha ya Ebrahim Raisi kiongozi mkuu wa Iran

NYOTA WETU Ebrahim Raisolsadati maarufu kama Ebrahim Raisi aliyekuwa amefikisha miaka 64, alikuwa akipigiwa upatu kuwa mrithi anayeweza kukalia kiti cha Ayatollah Ali Khamenei kama Kiongozi Mkuu, nafasi ambayo ni ya juu kabisa ya kisiasa na kidini katika jamhuri hiyo ya Kiislamu na akitajwa kama mtu mwenye msimamo mkali wa kidini. Alichaguliwa kuwa rais wa… Continue reading Mwanzo Mwisho wa Maisha ya Ebrahim Raisi kiongozi mkuu wa Iran

Please disable your adblocker or whitelist this site!

         banner