“How I hired a tech professional to delete my leaked adult video from the Web and smartphones” TIWA SAVAGE

CELEBRITIES Nigerian singer and actress Tiwa Savage recently shared her struggles in dealing with the aftermath of her leaked adult tape in an interview with Angie Martins at Power 105.1 in New York. Tiwa Savage described the distress she faced in October 2021 when she was threatened by blackmailers due to the private video. The… Continue reading “How I hired a tech professional to delete my leaked adult video from the Web and smartphones” TIWA SAVAGE

ZIDANE AONYWA NA MPANGO WAKE WA KWENDA BAYERN MUNICH

MICHEZO Gwiji wa Soka nchini Ufaransa Marcel Desailly ameiambia Sport1 kuwa Zidane anapswa kuwa makini endapo mpango wa kupewa nafasi ya kuwa kocha mkuu FC Bayern Munich utafanikiwa kama inavyotajwa katika vyombo kadhaa vya habari nchini Ujerumani. Amesema Kocha huyo ambaye alicheza naye kwenye kikosi cha Ufaransa kilichotwaa Ubingwa wa Dunia mwaka 1998, anapaswa kuwa… Continue reading ZIDANE AONYWA NA MPANGO WAKE WA KWENDA BAYERN MUNICH

MANCHESTER CITY NA BERNARDO SILVA NDOA YAO KUTAMATIKA MSIMU HUU

MICHEZO Mshambualiji kutoka nchini Ureno na Klabu Bingwa nchini England Manchester City Bernardo Silva ana nafasi kubwa ya kuikacha klabu hiyo, itakapofika mwishoni mwa msimu huu 2023/24. Silva mwenye umri wa miaka 29, kwa muda mrefu amekuwa kitaka changamoto ya kufikiria wapi atakapocheza msimu ujao, licha ya kuwa na mkataba na Man City hadi mwaka… Continue reading MANCHESTER CITY NA BERNARDO SILVA NDOA YAO KUTAMATIKA MSIMU HUU

Zubby Michael finally mourns Junior Pope

Zubby Michael finally mourns Junior Pope
Following backlashes from fans, Nollywood actor, Zubby Michael has finally expressed his grief for his late friend and colleague, Junior Pope.

Recall that Zubby Michael came under fire over his casual social media post while his colleagues’ mourned after Junior Pope’s passing.

He also faced criticism from his colleague, Angela Okorie who asserted that he wouldn’t dare mourn Junior Pope because he was always in competition with others in the industry, undermining relationships in his pursuit of excellence.

In a new post on his Instagram page, Zubby Michael posted a photo of the deceased actor, claiming that it is difficult to say goodbye.

In his words: “It’s difficult to say r I p Nwanne #ZM #A1 #doings #nawedeyhere #blessup”

See netizens reactions below:

queen_tehsy said: “Angela will finally eat her BASMA”TIC” rice. 😩😭”

diors_official said: “Until y’all realize that posting someone doesn’t mean you love them, pple even post pple Dey don’t know. so y’all let the guy breath freshly”

chizzy_udo wrote: “It’s very hard for him to type Rip😢Zubby biko be strong for us😩”

big_diceyy said: “And I like the fact that he did when he wants to ! Not for clout or social media pressure 👏”

NJIA 4 ZA KUCHAGUA MWENZA WA MAISHA

MAPENZI 1. HAKIKISHA MOYO WAKO UMEMKUBALI. 💯 Yani uwe umempokea moyoni kiasi kwamba moyo❤️ una jua yeye ndiyo mpenzi wa moyo wako💓 na siyo mwingine moyo utoshelezwe na yeye. 2. HAKIKISHA AKILI YAKO IMEMKUBALI.💯 Akili yako iwe inajua yeye ndiye mwenye sifa namba moja za kike au zakiume, na wengine wanafata nyuma yake, iliusiseme nivile… Continue reading NJIA 4 ZA KUCHAGUA MWENZA WA MAISHA

TABIA 15 ZA WANAWAKE WALIOPOTEZA SIFA ZA KUOLEWA.

1.Mwanamke anaelaumu kwa kila kitu hata umfanyie zuri lipi bado atalaumu. Huona mabaya tu, hana zuri kwake. 2.Mwanamke anayejiona amekamilika, anajihisi anaweza kufanya lolote bila mwanaume, na kuhisi anaweza kufanya lolote analofanya mwanaume, daima anataka haki sawa na hana muda wa kumheshimu mwenza wake. 3.“The Crybaby” Huyu silaha yake ni machozi tu saa zote. Hana… Continue reading TABIA 15 ZA WANAWAKE WALIOPOTEZA SIFA ZA KUOLEWA.

HUYU NDIYE MRITHI WA HENOCK INONGA AJAYE NDANI YA SIMBA SC

MICHEZO Mlinzi wa Klabu ya ASEC Mimosas, Anthony Tra Bi Tra anatajwa huko Msimbazi kwenda kuziba pengo la Henock Inonga ambaye Taarifa zinaeleza kuwa mwishoni mwa msimu anaelekea AS FAR Rabat ya Morocco. Nyota huyo raia wa Ivory Coast mwenye umri wa miaka 25 ameiongoza ASEC kutinga hatua ya robo Fainali ya CAF Champions League… Continue reading HUYU NDIYE MRITHI WA HENOCK INONGA AJAYE NDANI YA SIMBA SC

HALMASHAURI KUPIMWA KWA UBUNIFU VYANZO VIPYA VYA MAPATO

HABARI KUU Kigezo cha ziada ya kuzipima Halmashauri zote nchini kuanzia mwaka wa fedha ujao ni kila Halmashauri kubuni vyanzo vipya vya mapato kuanzia viwili na kuendelea kwa kila mwaka wa fedha, huku viongozi wa Halmashauri zote nchini kuzingatia matumizi ya mifumo katika shughuli zote za utumishi, manunuzi na ukusanyaji wa mapato. Hayo yamebainishwa na… Continue reading HALMASHAURI KUPIMWA KWA UBUNIFU VYANZO VIPYA VYA MAPATO

THE FIVE LOVE LANGUAGES

LOVE TIPS ❤ THE FIVE LOVE LANGUAGESMany people have wrongly thought they have only one love language. Let us decode this. The 5 Love Languages concept was conceptualized by Dr. Gary Chapman in 1992. The five love languages are:1. Words of affirmation2. Quality time3. Physical touch4. Acts of service5. Receiving gifts Since then, many individuals… Continue reading THE FIVE LOVE LANGUAGES

HOW TO MAKE YOUR WIFE RESPECT YOU IN THE MARRIAGE

LOVE TIPS ❤ 10 WAYS ON HOW TO MAKE YOUR WIFE RESPECT AND SUBMIT TO YOU FOR LIFE. Making a woman do your wish, honour you, adore you, celebrate you, respect you and submit to you for life is not difficult at all. No woman on earth is difficult, except you married the devil’s own… Continue reading HOW TO MAKE YOUR WIFE RESPECT YOU IN THE MARRIAGE

Please disable your adblocker or whitelist this site!

         banner