RAIS WA SOKA AHUKUMIWA KIFUNGO CHA MAISHA JELA

MICHEZO Rais wa zamani wa Shirikisho la soka nchini China, ambaye alikiri kupokea rushwa, amehukumiwa kifungo cha maisha jela. Vyombo vya habari vya serikali vya China vimeripoti leo kama sehemu ya kampeni kubwa ya kupambana na rushwa katika mchezo nchini humo. Chen Xuyuan akiwa Rais wa shirikisho alikiri kupokea kiasi cha yuan milioni 81.03”, au… Continue reading RAIS WA SOKA AHUKUMIWA KIFUNGO CHA MAISHA JELA

THEMBA ZWANE KUTOCHEZA DHIDI YA YANGA DAR ES SALAAM

MICHEZO Kikosi cha Mamelodi Sundowns ambacho kinatarajiwa kutua nchini kesho Jumatano (Machi 27) kitakuwa bila nahodha wake Themba Zwane, ambaye hatacheza mchezo wa Jumamosi (Machi 30). Mamelodi itatua nchini na zaidi ya watu 70 kwa ajili ya mchezo wa kwanza wa Robo Fainali ya Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya Young Africans, utakaopigwa kwenye Uwanja… Continue reading THEMBA ZWANE KUTOCHEZA DHIDI YA YANGA DAR ES SALAAM

NDEGE MPYA YA BOEING KUPOKELEWA MACHI 26

HABARI KUU Shirika la ndege la Tanzania, Air Tanzania (ATCL) linatarajia kupokea ndege mpya aina ya Boeing 737-9 Max. Ndege hiyo mpya inatarajiwa kuwasili Tanzania March 26,2024 ikitokea Nchini Marekani, ili kuimarisha zaidi shughuli za ATCL. Ongezeko la ndege hiyo utalifanya Shirika la Ndege la Tanzania ATCL,kuwa na jumla ya ndege 14, ambazo ni pamoja… Continue reading NDEGE MPYA YA BOEING KUPOKELEWA MACHI 26

HOW TO TAKE CARE OF YOUR WOMAN’S EMOTIONS

LOVE ❤ 1:Give her eye contact when she is talking to you, it makes her feel important. 2:When she is venting, allow her to speak. It is healthy for her not to bottle things inside. 3:Touch her. Rub her hand, hold her waist, kiss her. Physical touch is a window to her emotions. 4:When she… Continue reading HOW TO TAKE CARE OF YOUR WOMAN’S EMOTIONS

10 THINGS YOU MUST NOT DO DURING SEXimg

LOVE ❤ 1. Looking at time when you are having sex gives the other an impression that you are wasting their time! 2. Acting annoyed when the other partner takes long to get an orgasm. Instead help them to reach there if you already have. 3. Having an orgasm first, then not bothering if your… Continue reading 10 THINGS YOU MUST NOT DO DURING SEXimg

11 POWERS OF A WOMAN’S TONGUE

LOVE ❤ 1. A woman’s greatest power is in her words, whereas men are physically strong, a woman can bring down a man just with her tongue 2. A woman’s words can encourage a man and be his greatest inspiration, or discourage him and be his greatest nightmare. The more he loves her, the more… Continue reading 11 POWERS OF A WOMAN’S TONGUE

KISSINGER AAGA DUNIA

NYOTA WETU Mwanadiplomasia wa zamani wa Marekani ambaye aliwahi pia kuwa Waziri wa mashauri ya kigeni ya nchi hiyo,Dkt. Henry Alfred Kissinger amefariki Dunia akiwa na umri wa miaka 100 huku Ulimwengu wa siasa nchini humo ukimkumbuka. Kissinger ambaye aliwahi kuwa Waziri wa mashauri ya kigeni wa Marekani na mshauri wa masuala ya usalama wa… Continue reading KISSINGER AAGA DUNIA

Please disable your adblocker or whitelist this site!

         banner