(Click on the star on form card to select)
NDEGE MPYA YA BOEING KUPOKELEWA MACHI 26
HABARI KUU Shirika la ndege la Tanzania, Air Tanzania (ATCL) linatarajia kupokea ndege mpya aina ya Boeing 737-9 Max.Ndege hiyo mpya inatarajiwa kuwasili Tanzania March 26,2024 ikitokea Nchini Marekani, ili…