Aliyekuwa mgombea wa kanda ya Nyasa ya Chadema, Mchungaji Peter Msigwa amekata rufaa katika chama hicho, akidai ushindi alioupata Joseph Mbilinyi ‘Sugu’ haukuwa halali na kulikuwa na mbinu chafu dhidi yake.

Akizungumza na waandishi wa habari leo Jumatatu Juni 3, 2024 Mkoani Iringa, Msigwa ameonesha kutokubaliana na matokeo akidai kuwa hawezi kushindwa uchaguzi. “Mimi siwezi kushindwa, mimi uchaguzi huu (Uchaguzi wa…

Continue ReadingAliyekuwa mgombea wa kanda ya Nyasa ya Chadema, Mchungaji Peter Msigwa amekata rufaa katika chama hicho, akidai ushindi alioupata Joseph Mbilinyi ‘Sugu’ haukuwa halali na kulikuwa na mbinu chafu dhidi yake.

Rais wa Afrika Kusini Cyril Ramaphosa amekiri kuwa chama chake cha African National Congress (ANC) kimepata changamoto katika matokeo ya uchaguzi, baada ya chama hicho kupoteza wingi wa kura kwa mara ya kwanza tangu utawala wa kibaguzi kumalizika miaka 30 iliyopita.

Chama cha ANC, ambacho kiliwahi kuongozwa na Nelson Mandela, kilishinda viti 159 katika bunge lenye viti 400 katika uchaguzi wa Jumatano, idadi ya chini kutoka 230 katika bunge lililopita. Ramaphosa…

Continue ReadingRais wa Afrika Kusini Cyril Ramaphosa amekiri kuwa chama chake cha African National Congress (ANC) kimepata changamoto katika matokeo ya uchaguzi, baada ya chama hicho kupoteza wingi wa kura kwa mara ya kwanza tangu utawala wa kibaguzi kumalizika miaka 30 iliyopita.

Rais wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan na Rais Yoon Suk Yeol wa Jamhuri ya Korea wameshuhudia utiaji saini wa mkataba mmoja, hati za makubaliano (MOU) 2 na tamko la pamoja la kuanzisha Mkataba wa Ushirikiano wa Uchumi (EPA).

Mkataba huu utaiwezesha Tanzania kupokea mkopo kutoka Korea wa kiasi cha Dola za Kimarekani Bilioni 2.5 kwa kipindi cha miaka mitano kuanzia (2024- 2028) kwa ajili ya miradi ya miundombinu…

Continue ReadingRais wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan na Rais Yoon Suk Yeol wa Jamhuri ya Korea wameshuhudia utiaji saini wa mkataba mmoja, hati za makubaliano (MOU) 2 na tamko la pamoja la kuanzisha Mkataba wa Ushirikiano wa Uchumi (EPA).

Kiongozi wa upinzani Nchini Israel Yair Lapid ametoa wito kwa Waziri Mkuu wa taifa hilo Benjamin Netanyahu, kuzingatia mpango uliotangazwa na rais wa Marekani Joe Biden wa kusitisha mapigano Gaza.

Lapid ametoa pendekezo la kuiunga mkono serikali iwapo washirika wa serikali ya Netanyahu wataukataa mpango huo uliotangazwa na Biden. Familia za mateka wa Israel wanaoshikiliwa na Hamas wametaka pande zote…

Continue ReadingKiongozi wa upinzani Nchini Israel Yair Lapid ametoa wito kwa Waziri Mkuu wa taifa hilo Benjamin Netanyahu, kuzingatia mpango uliotangazwa na rais wa Marekani Joe Biden wa kusitisha mapigano Gaza.