LUKE FLEURS NYOTA WA KAIZER CHIEFS AUAWA

BREAKING NEWS Klabu ya Kaizer Chiefs ya Afrika Kusini imetangaza kifo cha mchezaji wake Luke Fleurs aliyepoteza maisha usiku wa kuamkia leo Aprili 4, 2024 wakati wa utekaji nyata huko Johannesburg, Afrika Kusini. Beki huyo wa kati aliyesajiliwa na Kaizer mwezi October 2023 amefariki akiwa na umri wa miaka 24 baada ya kupigwa risasi na… Continue reading LUKE FLEURS NYOTA WA KAIZER CHIEFS AUAWA

Please disable your adblocker or whitelist this site!

         banner