BASSIROU DIOMAYE FAYE MBIONI KUWA RAIS MPYA WA SENEGAL

NYOTA WETU Kiongozi wa upinzani Bassirou Diomaye Faye ameibuka kuwa anayepewa nafasi kubwa ya kushinda uchaguzi wa urais nchini Senegal, baada ya wapinzani kadhaa kukubali kushindwa. Mamilioni ya watu walishiriki katika upigaji kura siku ya Jumapili, kufuatia miaka mitatu ya misukosuko na maandamano ya upinzani dhidi ya Rais aliyemaliza muda wake, Macky Sall. Wapiga kura… Continue reading BASSIROU DIOMAYE FAYE MBIONI KUWA RAIS MPYA WA SENEGAL

WIMBO ULIOMTOA ZUCHU WAFIKISHA WATAZAMAJI MILIONI 100DiscoverCars.com

NYOTA WETU Mwanamuziki Zuhura Othman (Zuchu) ameandika rekodi ya kuwa msanii wa kwanza Tanzania na Afrika Mashariki kuwa na video moja iliyofikisha idadi ya watazamaji milioni 100 katika mtandao wa YouTube kupitia wimbo wa Sukari. Kabla ya hapo hakuna msanii yeyote binafsi ‘solo’ aliyewahi kutoa video iliyofikia mafanikio hayo kwa Tanzania na Afrika Mashariki maana… Continue reading WIMBO ULIOMTOA ZUCHU WAFIKISHA WATAZAMAJI MILIONI 100DiscoverCars.com

IYANYA REACTS TO CLAIMS HE SLEPT WITH A FAN BEFORE GIFTING HER AN iPhone

OUR STAR 🌟 Famous Nigerian singer, Iyanya blasts online user who claimed that he slept with the lady he met at Davido’s concert before gifting her an iPhone. On the microblogging platform, X, an online user with the handle ANTIAPE1 accused the singer of stating in an interview that he slept with Florence, the lady… Continue reading IYANYA REACTS TO CLAIMS HE SLEPT WITH A FAN BEFORE GIFTING HER AN iPhone

GEREMI NJITAP AKUBWA NA MKASA MZITOimg

NYOTA WETU Ndoa ya Nyota wa zamani wa Chelsea na timu ya Taifa ya Cameroon, Geremi Njitap ipo katika mchakato wa talaka baada ya kubainika Watoto Mapacha waliozaliwa Mwaka 2008 miaka minne kabla ya kufunga ndoa na mkewe, Toukam Fotso Laure Verline si wake Kibaiolojia Geremi (45) amefungua kesi Mahakamani akitaka ndoa ivunjike baada ya… Continue reading GEREMI NJITAP AKUBWA NA MKASA MZITOimg

10 FACTS YOU SHOULD KNOW ABOUT YOUR MAN’S SEX LIFEimg

LOVE ❤ Most of the time, you complain that your husband’s demand for sex is too frequent. You feel his crave for sex is similar to his need for food and you can’t help but wonder if sex is the only thing he thinks about. Men and women in the areas of sex are wired… Continue reading 10 FACTS YOU SHOULD KNOW ABOUT YOUR MAN’S SEX LIFEimg

NDEGE MPYA YA BOEING KUPOKELEWA MACHI 26

HABARI KUU Shirika la ndege la Tanzania, Air Tanzania (ATCL) linatarajia kupokea ndege mpya aina ya Boeing 737-9 Max. Ndege hiyo mpya inatarajiwa kuwasili Tanzania March 26,2024 ikitokea Nchini Marekani, ili kuimarisha zaidi shughuli za ATCL. Ongezeko la ndege hiyo utalifanya Shirika la Ndege la Tanzania ATCL,kuwa na jumla ya ndege 14, ambazo ni pamoja… Continue reading NDEGE MPYA YA BOEING KUPOKELEWA MACHI 26

HOW TO TAKE CARE OF YOUR WOMAN’S EMOTIONS

LOVE ❤ 1:Give her eye contact when she is talking to you, it makes her feel important. 2:When she is venting, allow her to speak. It is healthy for her not to bottle things inside. 3:Touch her. Rub her hand, hold her waist, kiss her. Physical touch is a window to her emotions. 4:When she… Continue reading HOW TO TAKE CARE OF YOUR WOMAN’S EMOTIONS

MAHAMADOU DIAWARA AJIONDOA UFARANSA KWASABABU YA RAMADAN

NYOTA WETU Shirikisho la soka Ufaransa (FFF ) limewapiga marufuku wachezaji kufunga Ramadhan wakati wa mapumziko ya mechi za kimataifa. Sheria mpya za FFF zinasema kwamba wachezaji walioitwa na timu za taifa za Ufaransa hawawezi kufunga kipindi cha Ramadhani wakati wakiwa na timu za Taifa. Kila kocha mkuu wa timu za taifa za Ufaransa, kuanzia… Continue reading MAHAMADOU DIAWARA AJIONDOA UFARANSA KWASABABU YA RAMADAN

5 SIGNS THAT SOMEONE IS NOT INTO YOU

HOW TO KNOW IF THE LOVE IS REAL When someone loves you, you know and you will feel it. There will be evidences to attest to it. Below are some of the evidences… ✅ ATTENTION When someone loves you, he or she will give you attention. We give attention to the things that we love.… Continue reading 5 SIGNS THAT SOMEONE IS NOT INTO YOU

VLADIMIR PUTIN VICTORY AND DEMOCRACY IN RUSSIA

#NEWS Russian President Vladimir Putin has claimed a landslide election victory in the country’s Presidential elections. The results were announced late Sunday after a three-day voting process in which Putin claimed 87% of the votes, according to Russia’s Central Election Commission. With Putin winning his fifth term as President, he is now set to overtake… Continue reading VLADIMIR PUTIN VICTORY AND DEMOCRACY IN RUSSIA

Please disable your adblocker or whitelist this site!

         banner