VLADIMIR PUTIN ASHINDA KWA KISHINDO UCHAGUZI MKUU URUSI

HABARI KUU VLADIMIR Putin amechaguliwa kwa mara nyingine kuwa Rais wa Urusi na kuweka rekodi katika uchaguzi wa Urusi uliomalizika jana Jumapili ambapo katika matokeo ya awali yanaonesha kuwa amepata asilimia 87.8 za kura huku Nikolay Kharitonov aliyekamata nafasi ya pili akipata kura chini ya asilimia 4. Akihutubia baada ya kumalizika kwa zoezi la upigaji… Continue reading VLADIMIR PUTIN ASHINDA KWA KISHINDO UCHAGUZI MKUU URUSI

FEISAL SALUM “FEI TOTO” APELEKA KILIO YANGA

MICHEZO Kiungo Feisal Salum Fei Toto amepeleka kilio Jangwani kwa kufunga bao la ushindi kwa Azam FC waliotundika Yanga SC 2-1 kwenye muendelezo wa ligi kuu soka ya NBC Tanzania Bara. Hiki ni kipigo cha pili kwa Yanga SC kwenye ligi kuu msimu huu wakisaliwa na alama 52 baada ya michezo 20 huku Azam FC… Continue reading FEISAL SALUM “FEI TOTO” APELEKA KILIO YANGA

MAREKANI KUUFUNGIA MTANDAO WA TIKTOK

HABARI KUU Bunge la Marekani limepitisha Muswada wa Sheria itakayoruhusu kufungiwa kwa TikTok, mtandao wenye Watumiaji Wamarekani takriban Milioni 170, kama haitatengana umiliki wake na kampuni ya Byte Dance yenye asili ya China. Wakitoa maoni ya kupitisha Muswada huo, Wabunge wamesema TikTok inahatarisha Usalama wa Nchi kwasababu China inaweza kuitumia Byte Dance kuingilia Uchaguzi Mkuu… Continue reading MAREKANI KUUFUNGIA MTANDAO WA TIKTOK

HOW TO MAKE YOUR SPOUSE FEEL SEXY

LOVE ❤ 1. Stay faithful. It makes your spouse feel confident that he/she is enough 2. Make sexual advances on your spouse. This is for both husband and wife. Wives don’t just sit in bed waiting for him to do all the work 3. Speak highly of the sweetness of her vagina. Speak highly of… Continue reading HOW TO MAKE YOUR SPOUSE FEEL SEXY

LEBRON JAMES AWEKA REKODI YA KUWA MCHEZAJI KIKAPU MWENYE POINTI NYINGI

MICHEZO Nyota wa Mpira wa Kikapu, LeBron James amevunja rekodi yake mwenyewe kwa kuwa Mchezaji wa kwanza wa Mchezo huo kufikisha Pointi 40,000 katika historia ya Ligi ya Shirikisho la Mpira wa Kikapu nchini Marekani (NBA). Mwaka 2023, ‘King James’ anayeichezea Los Angeles Lakers alimpita nyota mkongwe Kareem Abdul-Jabbar aliyekuwa akishikilia rekodi ya Mfungaji Bora… Continue reading LEBRON JAMES AWEKA REKODI YA KUWA MCHEZAJI KIKAPU MWENYE POINTI NYINGI

Please disable your adblocker or whitelist this site!

         banner