NIGERIA COMEDIAN AMAECHI MUONAGOR HAS PASSED AWAY IN AGE OF 62

OUR STAR 🌟 Amaechi MuonagorBorn August 20, 1962 Died march 24, 2024 (aged 61) Amaechi was born in Obosi, a village in Idemili North, Anambra State. He attended St. Mary’s Primary School, Obosi, Oraifite Grammar School before he furthered his education at the University of Nigeria, Nsukka (UNN) where he studied economics and graduated in… Continue reading NIGERIA COMEDIAN AMAECHI MUONAGOR HAS PASSED AWAY IN AGE OF 62

LIONEL MESSI ATEMWA KIKOSI CHA ARGENTINA

MICHEZO Nahodha na Mshambuliaji Lionel Messi atakosa mechi zijazo za Kimataifa ya Kirafiki za Argentina dhidi ya El Salvador na Costa Rica kwa sababu ya jeraha la msuli wa paja la kulia, shirikisho la soka la nchi hiyo limesema. Nahodha huyo wa Argentina alibadilishwa mapema katika kipindi cha pili cha ushindi wa mabao 3-1 wa… Continue reading LIONEL MESSI ATEMWA KIKOSI CHA ARGENTINA

MESSI KUWEKA REKODI HII MPYA

MICHEZO Nyota wa soka Lionel Andres Messi huenda akaongeza rekodi yake nyingine kwenye maisha yake baada ya kutangazwa kwa mnada wa seti sita za jezi alizozitumia kwenye kombe la Dunia mwaka 2022 huko Qatar, ambao kwa mujibu wa sotheby utafunguliwa Novemba 30,2023 hadi Desemba 14 huko New York. Katika mnada huo jezi zinatarajiwa kuuzwa kwa… Continue reading MESSI KUWEKA REKODI HII MPYA

Please disable your adblocker or whitelist this site!

         banner