Kocha Mkuu wa Liverpool, Jurgen Klopp amekanusha madai kwamba Mkurugenzi Mkuu Mtendaji mpya wa klabu hiyo, Michael Edwards amemuomba kubaki kwenye klabu hiyo.

Fenway Sports Group inayoimiliki klabu ya Liverpool imetangaza kumrejesha Edwards kama Mkurugenzi Mtendaji mpya wa klabu hiyo. Edwards alipata mafanikio makubwa akiwa na Liverpool kwenye historia ya klabu hiyo, akifanya…

Continue ReadingKocha Mkuu wa Liverpool, Jurgen Klopp amekanusha madai kwamba Mkurugenzi Mkuu Mtendaji mpya wa klabu hiyo, Michael Edwards amemuomba kubaki kwenye klabu hiyo.

Wakati watu wengi nje ya Liverpool wakimuona kama ni mbinafsi na anajiangalia yeye tu, mshambuliaji wa timu hiyo Mohamed Salah amewaziba mdomo waliodhania tofauti.

Salah amekuwa na mchango mkubwa kwa Liverpool tangu ajiunge nayo mwaka 2017 akiisaidia kushinda Ligi Kuu, Ligi ya Mabingwa, Carabao na FA Cup. Msimu huu Liverpool inashiriki michuano ya Europa…

Continue ReadingWakati watu wengi nje ya Liverpool wakimuona kama ni mbinafsi na anajiangalia yeye tu, mshambuliaji wa timu hiyo Mohamed Salah amewaziba mdomo waliodhania tofauti.