KLOPP KUONDOKA LIVERPOOL

MICHEZO Jurgen Klopp ametangaza kuwa ataondoka Liverpool mwishoni mwa msimu huu wa 2023-24, baada ya kumaliza muda wake wa miaka tisa katika klabu hiyo. Habari hizo zimeshtua sana wadau wa soka Duniani kutokana na mkataba wake kumalizika mwaka 2026 ,lakini amekiri kwamba ataachana na majukumu yake hayo kwa kile alichosema “anakosa nguvu “. Klopp mwenye… Continue reading KLOPP KUONDOKA LIVERPOOL

WATU WANNE WAKAMATWA SAKATA LA UTEKAJI

MICHEZO Watu wanne wameripotiwa kukamatwa baada ya sakata la Wazazi wa Mshambuliaji wa Liverpool Luis Diaz kutekwa. Watu hao wanashtakiwa kwa kuteka na kuiba ,na wanatarajiwa kupelekwa Mahakamani leo katika mji mmoja ujulikanao kama Riohacha uliopo Kaskazini mwa Colombia. Mmoja wa watu hao aliyetambulika kama Yerdinson Bolivar anatajwa kuwahi kuwa kocha Kwenye shule ya soka… Continue reading WATU WANNE WAKAMATWA SAKATA LA UTEKAJI

BABA WA LUIS DIAZ AFUNGUKA MAZITO ALIYOPITIA DiscoverCars.com

NYOTA WETU. Luis Manuel Diaz, Baba mzazi wa Mshambuliaji wa Liverpool Luis Diaz amezungumza kwa mara ya kwanza tangu aachiliwe huru. Akiongea kwa hisia kali na hata kulia mzee Diaz (58) alisema “Walinilazimisha nitembee sana ,bila kupumzika vizuri,tukiwa milimani kwenye mazingira magumu sana. Nisingetaka mtu yeyote awe kwenye mazingira ya kule milimani niliopitia mimi. Ulikuwa… Continue reading BABA WA LUIS DIAZ AFUNGUKA MAZITO ALIYOPITIA DiscoverCars.com

BABA WA LUIS DIAZ AMEREJESHWA

NYOTA WETU. Baba Mzazi wa nyota wa Liverpool Luis Diaz aliyetekwa nchini Colombia takribani wiki mbili zilizopita,ameachiwa huru. Taarifa zinaeleza mzee Luis Manuel Diaz alikabidhiwa kwa tume ya umoja wa kimataifa ya kibinadamu, kanisa na wahudumu wa Afya karibu na mpakani mwa Colombia na Venezuela. Mamlaka zilizokuwa zikifanya mazungumzo na kundi la kihalifu lililomshikilia ,ili… Continue reading BABA WA LUIS DIAZ AMEREJESHWA

LUIS DIAS APATWA NA MKASA MZITO

MICHEZO Ripoti kutokea Colombia zinaeleza kuwa wazazi wa Mshambuliaji wa Liverpool Luis Diaz walitekwa nchini humo lakini hadi sasa mama amepatikana. Wakati wakielekea nyumbani kwao wawili hao walizingirwa na watu wenye silaha waliokuwa kwenye pikipiki. Tukio hilo limetokea kwenye kituo cha mafuta. Kupitia mtandao wa X, Rais wa Colombia Gustavo Petro amethibitisha kuwa polisi wamefanikiwa… Continue reading LUIS DIAS APATWA NA MKASA MZITO

Please disable your adblocker or whitelist this site!

         banner