Mabingwa wa Soka nchini Ufaransa Paris Saint-Germain wanaanda zaidi ya Pauni 80 milioni kwa ajili ya kutuma ofa kwenda Manchester United ili kuipata saini ya Mshambuliaji wa timu hiyo na England, Marcus Rashford katika dirisha lijalo la majira ya kiangazi.

Inaelezwa kuwa, mabosi wa PSG wanataka kumchukua fundi huyu ikiwa ni sehemu ya kuziba pengo la Mshambuliaji wao Kylian Mbappe ambaye ataondoka mwisho wa msimu huu. Mbali ya ofa hiyo, pia PSG imepanga kumpa mshahara wa zaidi ya Pauni 500,000 kwa juma, ili kumshawishi zaidi akubali kujiunga nao. Mkataba wa sasa wa staa huyu unatarajiwa… Continue reading Mabingwa wa Soka nchini Ufaransa Paris Saint-Germain wanaanda zaidi ya Pauni 80 milioni kwa ajili ya kutuma ofa kwenda Manchester United ili kuipata saini ya Mshambuliaji wa timu hiyo na England, Marcus Rashford katika dirisha lijalo la majira ya kiangazi.

JENERALI BIAGOLO ASIMAMISHWA KAZI KISA MKE WAKE

NYOTA WETU Jenerali Biagolo amesimamishwa katika jeshi la DRC baada ya kuzagaa kwenye mitandao ya kijamii video inamuonyesha Mwanamke mmoja akicheza akiwa amevalia sare za Kijeshi. Video hiyo ambayo imewekwa kwenye mtandao wa kijamii wa tiktok inamuonyesha mwanamke wa kando akicheza nayo kitu ambacho ni kinyume na taratibu za jeshi. Jenerali Biagolo kwa mjibu wa… Continue reading JENERALI BIAGOLO ASIMAMISHWA KAZI KISA MKE WAKE

KOCHA JAMHURI KIWELO”JULIA” AULA SINGIDA FOUNTAIN GATE

MICHEZO Aliyewahi kuwa Kocha Mkuu wa Klabu za Simba SC, Coastal Union, Mwadui FC na Namungo FC, Jamhuri Kikwelo ‘Julio’ anatajwa kuwa chaguo la kwanza kwa makocha wanaopewa nafasi ya kukabidhiwa majukumu ya kukifndisha kikosi cha Singida Fountain Gate. Klabu hiyo inayoshiriki Ligi Kuu Tanzania Bara, ipo katika mchakato wa kumsaka Kocha Mkuu mpya, baada… Continue reading KOCHA JAMHURI KIWELO”JULIA” AULA SINGIDA FOUNTAIN GATE

WATU ZAIDI YA 100000 WALIVYOKIMBIA VITA DRC

HABARI KUU Wananchi wameendelea kuyakimbia makazi yao kutokana na mashambulizi yanayoendelea kutekelezwa na waasi wa M23, Mashariki mwa DRC. Ofisi ya Umoja wa Mataifa ya kuratibu masuala ya Kibinadamu (Ocha), inakadiria zaidi ya watu 100,000 wamelazimika kuyahama makazi yao kutokana na mapigano yanayoendelea katika eneo la Rutshuru tangu Ijumatano wiki iliyopita. Rwanda imekuwa ikinyoshewa kidole… Continue reading WATU ZAIDI YA 100000 WALIVYOKIMBIA VITA DRC

YANGA YAICHAPA IHEFU LEO

MICHEZO Mbogomaji wameingia kwenye ‘list’ ya timu zilizochukua magoli matano kutoka kwa Wananchi mpaka sasa msimu huu. FT: Yanga SC 5-0 Ihefu FC⚽ Pacome 9′⚽ Mudathir 29′⚽ Aziz Ki 68′⚽ Okrah 83′⚽ Maxi 86′ Stephanie Aziz Ki amehusika kwenye magoli manne kati ya matano ya Yanga leo, goli moja na hat-trick ya ‘assist’ Aziz Ki… Continue reading YANGA YAICHAPA IHEFU LEO

ALYSSA JAY AKIRI KUOMBWA PICHA YA UTUPU

NYOTA WETU Mwanamitindo wa Uingereza, Alyssa Jay anadai alipokea “ujumbe wa matusi” kutoka kwa mchezaji kandanda wa Everton baada ya kukataa kumtumia picha za utupu kwenye mtandao wa Snapchat. Alyssa Jay aliliambia gazeti la Daily Star jinsi alivyokuwa akichati na mchezaji huyo wa Everton kupitia mitandao ya kijamii “Ilikuwa kama utani alisema nitumie picha” Msichana… Continue reading ALYSSA JAY AKIRI KUOMBWA PICHA YA UTUPU

ANTHONY JOSHUA ATAMBA KUMPIGA FRANCIS NGANNOU KWA KNOCKOUT

MICHEZO Bondia Anthony Joshua ametamba kumpiga mpinzani wake Francis Ngannou kwa ‘KO’ kwenye pambano la uzito wa juu litakalofanyika Saudi Arabia, mwishoni mwa juma lijalo. Joshua kwa sasa ameshinda mapambano matatu mfululizo na hivi karibuni alimshinda Otto Wallin raundi ya tano Desemba mwaka jana. Joshua anatarajia kupata ushindani tofauti kutoka kwa Ngannou kwenye pambano hilo… Continue reading ANTHONY JOSHUA ATAMBA KUMPIGA FRANCIS NGANNOU KWA KNOCKOUT

RAHEEM STERLING AKANUSHA TETESI ZA KWENDA SAUDIA ARABIADiscoverCars.com

MICHEZO Kiungo Mshambuliaji wa Chelsea, Raheem Sterling haonekani kupendezwa na tetesi za uhamisho wa kwenda Ligi Kuu ya Saudi Arabia, huku mabingwa Al Hilal wakionesha nia ya kumtaka. Watu wengi wenye majina makubwa Barani Ulaya bado wanahusishwa na uhamisho wa kwenda kwenye taifa hilo tajiri la Ghuba, lililochochewa na mabadiliko ya Cristiano Ronaldo kwenda AI… Continue reading RAHEEM STERLING AKANUSHA TETESI ZA KWENDA SAUDIA ARABIADiscoverCars.com

KYLIAN MBAPPE KUWEKA REKODI YA MAUZO

MICHEZO Mama wa Mshambuliaji kutoka nchini Ufaransa Kylian Mbappe ameripotiwa kuanza kutafuta nyumba huko Hispania ili kujiandaa kabla ya mwanaye hajakwenda kujiunga na Real Madrid. Mshambuliaji huyo atamaliza mkataba wake na Paris Saint-Germain mwishoni mwa msimu huu 2023/24. Kinachoaminika ni kwamba mchezaji huyo atakwenda kujiunga na Real Madrid bure kabisa, licha ya kwamba bado kuna… Continue reading KYLIAN MBAPPE KUWEKA REKODI YA MAUZO

LUVUMBU NZINGA AJIUNGA NA AS VITA CLUB

MICHEZO Mchezaji Heritier Luvumbu Nzinga amesaini makataba wa msimu mmoja kwa ajili ya kuitumikia klabu ya AS Vita Club ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo. Nyota huyo amesaini mkataba huo mbele ya Rais wa klabu ya AS Vita Club Amadou Diaby. Hata hivyo, vipengele vya mkataba kati ya mchezaji huyo na mwajiri wake mpya havijawekwa… Continue reading LUVUMBU NZINGA AJIUNGA NA AS VITA CLUB

Please disable your adblocker or whitelist this site!

         banner