RAIS SAMIA AWAKAANGA MABALOZI WALA BATA

Dodoma. Rais wa Tanzania Dkt .Samia Suluhu Hassan amewaapisha MabaloziWateule Ikulu Chamwino Dodoma leo Agosti 16,2023 ambapo moja ya mambo aliyoyasema kwenye hotuba ni kwamba kuna Mabalozi ni kama vile hawajui wanachokifanya kwakuwa wapowapo tu na hawafanyi kazi kwa ufanisi. “Katika Nchi nyingine Mabalozi wetu sijui niseme hawajui wanachofanya ,wapo tu,nilishakutana na Rais mwenzangu ndani… Continue reading RAIS SAMIA AWAKAANGA MABALOZI WALA BATA

MAGAZETI YA LEO AGOSTI 10,2023

Dar es salaam. Magazeti ya leo yana habari kuhusu , Sakata la Bima kwa wote lamuibua Waziri Ummy Mwalimu atakiwa kutoa ufafanuzi kuhusu mchakato lakini akwama kutoa majibu. Na habari nyingine iliotapakaa kwenye magazeti ya leo ni kuhusu , Sakata la Gazeti la Mwanahalisi kuwaanika Rais Mstaafu Jakaya Kikwete na Makamu Mwenyekiti CCM bara Abdullahman… Continue reading MAGAZETI YA LEO AGOSTI 10,2023

KINANA NA KIKWETE WAGUSWA SUALA LA BANDARI

Dar es salaam Kupitia kwa Wakili Eric S Ng’maryo , Rais wa Zamani wa Tanzania Dkt Jakaya Mrisho Kikwete na Makamu Mwenyekiti wa CCM bara Abdullahman Kinana wamepanga kumshitaki Mhariri wa Gazeti la Mwanahalisi ndg Said Kubenea kwa kile kinachotajwa ni kuwasingizia kwenye chapisho Lake kuhusu wao kuwa vinara wa kupinga Mkataba wa Uwekezaji kati… Continue reading KINANA NA KIKWETE WAGUSWA SUALA LA BANDARI

JE NI NINI KINASABABISHA MFULULIZO WA MAPINDUZI YA KIJESHI KWENYE SERIKALI ZA AFRIKA?

Makala Fupi Katika siku za hivi karibuni kumekuwa na matukio ya kijeshi ya nchi mbalimbali kupindua Serikali za nchi zao huku sababu zikitajwa kuwa ni Utawala Mbovu wa Viongozi waliopo Madarakani,Ufisadi, Rushwa na Kutokuheshimu Haki za Binadamu. Inaelezwa 38% tu ya Nchi za Afrika zimebaki na utaratibu wa ukomo wa mihula ya Urais ,nyingine zilizojaribu… Continue reading JE NI NINI KINASABABISHA MFULULIZO WA MAPINDUZI YA KIJESHI KWENYE SERIKALI ZA AFRIKA?

MAMBO HAYA YATASAIDIA KUONDOA RUSHWA NA UFISADI

Makala Fupi Nchi ya Denmark inatajwa mara kibao kuwa kinara kwenye Nchi zenye kiwango kidogo cha Ufisadi kutokana na Uhuru mkubwa wa vyombo vya habari,Uwazi na Upatikanaji wa Taarifa kuhusu Matumizi ya Fedha za Umma. Viwango vikubwa vya Uadilifu kwa maafisa wa Umma,na Mfumo huru wa Mahakama. Katika nchi nyingi, kashfa kubwa zinazohusiana na Ufisadi,Matumizi… Continue reading MAMBO HAYA YATASAIDIA KUONDOA RUSHWA NA UFISADI

KWA DOCUMENTARY HII NITAWASHANGAA WANAYANGA WASIPOVUNJA REKODI KWA KUITAZAMA

Makala Fupi Watu wanakuja na kuondoka,maisha yanakuja na kupita,matukio nayo yanakuja na kuondoka huku matukio haya yakiletwa na kuja kupitia watu tena watu wa wakati husika,yawe mabaya au mazuri yote kwa yote yataleta furaha na huzuni ambazo baada ya muda huzaa kumbukumbu. Kupitia matukio ndipo alama hupatikana ,ndipo heshima huongezeka ndipo tofauti ya watu kwenye… Continue reading KWA DOCUMENTARY HII NITAWASHANGAA WANAYANGA WASIPOVUNJA REKODI KWA KUITAZAMA

MAGAZETI YA LEO AGOSTI 8,2023

Dar es salaam Hujambo? Mtanzania popote pale ikiwa ni mapumziko ya hivi leo kwenye sherehe za nanenane ambazo kitaifa zinafanyika Mkoani Songwe na Mgeni rasmi akiwa ni Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan. Taarifa kubwa kwenye magazeti ya leo ni kuhusu siku ya wakulima hivi leo ikiwa ni siku ya wakulima… Continue reading MAGAZETI YA LEO AGOSTI 8,2023

YANGA YAINGIZA PESA NDEFU KWENYE TAMASHA LAKE ZAIDI YA SIMBA

Dar es salaam. Matamasha ya Wiki ya Mwananchi na Simba Day yamekamilika ambapo sasa ni rasmi maandalizi ya Ligi ya NBC yataanza kwa wababe wa soka la Tanzania yaani Simba na Yanga. Watani hawa wa jadi wamekuwa wakiwekeana tambo ambazo haziishii kwenye uwanja pekee mpaka kwenye mambo mbalimbali yakiwepo ya idadi ya mabao wanayofunga,takwimu za… Continue reading YANGA YAINGIZA PESA NDEFU KWENYE TAMASHA LAKE ZAIDI YA SIMBA

Please disable your adblocker or whitelist this site!

         banner