SABABU JOSEPH SELASINI KUMLIPA JAMES MBATIA MILIONI 80
HABARI KUU Aliyekuwa Mwenyekiti wa NCCR Mageuzi, James Mbatia ameshinda kesi dhidi ya Makamu Mwenyekiti wa chama hicho, Joseph Selasini ambaye alimfungulia mashtaka ya udhalilishaji dhidi yake. Hukumu hiyo iliyotolewa…
SUA YAPONGEZWA KWA MATUMIZI YA BILIONI 74 VIZURI
HABARI KUU Katika kipindi cha miaka mitatu ya uongozi wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, Chuo Kikuu cha Sokoine (SUA) kimepokea jumla ya shilingi…
Rais Mstaafu wa Tanzania, Dkt. Jakaya Kikwete ametunukiwa tuzo ya kiongozi bora wa mwaka 2023 katika Tuzo za Kiongozi Bora wa Afrika kwa Mwaka 2023 (African Leadership Person of the Year) kama Kiongozi Bora wa Mwaka katika Amani na Usalama barani Afrika.
Katika hotuba ya Dkt. Kikwete wakati wa hafla hiyo iliyoandaliwa na Jarida la Uongozi Afrika (ALM) jijini Addis Ababa, Ethiopia ameshukuru kwa kutunukiwa tuzo hiyo na kuwasihi Waafrika wote kwenye…
SAMIA MGUU SAWA KUELEKEA 2025
NYOTA WETU
Rais Samia Suluhu Hassan ameibuka tishio kwa vyama vya upinzani nchini kuelekea uchaguzi mkuu ujao wa 2025 kutokana na umati mkubwa anaovuta kwenye ziara zake akiwa kwenye mikoa mbalimbali.
Popote aendako kwenye ziara zake kwenye mikoa mbalimbali, Rais Samia amekuwa akilakiwa na umati mkubwa wa watu jambo ambalo sasa ni nyota ya kijani kwake kuelekea Uchaguzi wa 2025 anaweza kuibuka kidedea mapema.
Kada mbalimbali za wananchi,ikiwemo ya vijana madereva bodaboda ,kina mama lishe, wakulima ,wavuvi,wafugaji ,wafanyabiashara na wananchi wa kawaida wamekuwa wakijitokeza kwa wingi kumlaki Rais ,kitu ambacho akikuwahi kutokea.
Ingawa bado ni mapema mno na Rais Samia bado hajatangaza nia yake ya kugombea urais 2025, lakini ni wazi Rais Samia kwasasa anaonekana ni mwanasiasa mwenye ushawishi zaidi kwasasa nchini na ni turufu kubwa ya uchaguzi mkuu.
Katika ziara zake za hivi karibuni kwenye mikoa ya kusini na katikati mwa nchi amejizolea maelfu ya watu hasa mkoa wa Singida ambayo ilionekana ni ngome ya Lissu lakini imekuwa tofauti kwani amepata watu wengi .
(more…)
SERIKALI YAWATOA HOFU WANANCHI UPATIKANAJI WA MAFUTA
MAGAZETI
Karibu Mtanzania kwenye magazeti ya leo kwenye mbao za magazeti ya asubuhi hii ya Octoba 20,2023.
(more…)
UMEME WAMPASUA KICHWA NAIBU WAZIRI MKUU
Magazeti Karibu Mtanzania kwenye magazeti ya hivi leo, yakiwa na habari kuhusu Uteuzi na waliomamishwa au kupangiwa kazi mpya. Ni hakina nani ao? Tazama mbao za magazeti ya hivi leo.
KURASA ZA MAGAZETI YA LEO SEPTEMBA 20,2023
Magazeti Magazeti ya leo yana habari ya kuhusu Mtanzania msomi mwenye shahada 9 profesa. Mpoki Mafyenga ambaye amefariki kwa maradhi ya figo. Magazeti yote leo pia yana habari kuhusu ziara…