MAKONDA AITWA KAMATI YA MAADILI CCM

MAGAZETI Karibu Mtanzania popote pale ulipo kwenye asubuhi ya leo kwenye mbao za magazeti ya hivi leo popote pale ulipo kwenye Jamhuri yetu tukufu ya Tanzania 🇹🇿.

MVUA YAKATISHA MAWASILIANO KATAVI NA KIGOMA

HABARI KUU Zaidi ya Kaya 13 zimekosa makazi katika kata ya Makanyagio Manispaa ya Mpanda baada ya nyumba zao kuanguka kufuatia mafuriko yaliyosababishwa na mvua iliyonyesha Usiku wa kuamkia April 14. Barabara Kuu inayounganisha Mikoa ya Kigoma na Katavi na wilaya ya Tanganyika Mkoani Katavi ikishindwa kupitika kutokana na Daraja la Mto Kachoma kufunikwa na… Continue reading MVUA YAKATISHA MAWASILIANO KATAVI NA KIGOMA

KURASA ZA MAGAZETI SEPTEMBA 12,2023

Magazeti Magazeti ya leo yana habari kuhusu Kamchape alivyoleta taharuki kwenye mwambao wa ziwa Tanganyika ,watu wataharuki wakihofia hatima ya maisha yao kwenye Mkoa wa Kigoma. Habari kuu nyingine ni kauli ya Rais Samia Suluhu Hassan kuhusu Mchakato wa katiba, ambapo ametaka kwanza Watanzania wapewe elimu ya katiba. HIZI NI PICHA ZA MAGAZETI YA LEO

Please disable your adblocker or whitelist this site!

         banner