KURASA ZA MAGAZETI YA LEO 7 AGOSTI 2023

Dar es salaam Mpemzi msomaji wa Magazeti ni asubuhi nyingine tena ambapo leo magazeti yana habari kuhusu Simba Day na Janga la Moto Ubungo. Magazeti ya hivi leo karibu yote yameandika kuhusu Simba Day ambapo Mgeni rasmi alikuwa ni Rais wa Tanzania Samia Suluhu ambaye kati ya mengi aliyosema ni kuhusu kuipongeza Simba na Ubunifu… Continue reading KURASA ZA MAGAZETI YA LEO 7 AGOSTI 2023

DIAMOND SASA APIGWA CHINI YOUTUBE

Dar es salaam Miongoni mwa rekodi ambayo nyota wa Bongo Fleva Diamond Platinum amekuwa nayo kwa muda ni kuwa na ufuasi wa watu wengi kwenye mtandao wa kijamii wa YouTube. Kwasasa taarifa ikufikie ya kwamba mkali wa Nigeria Burna boy anaenda kuivunja rekodi hiyo kitu kitakachofanya sasa Wanigeria wawe wanamiliki kila aina ya mafanikio hasa… Continue reading DIAMOND SASA APIGWA CHINI YOUTUBE

MAGAZETI YA LEO 4 AGOSTI 2023

Dar es salaam Hujambo Mtanzania mwenzangu kwenye siku hii ya leo. Magazeti ya leo yana habari kuhusu Watu wanne wa Familia moja kufariki kwenye ajali ya gari usiku wa kuamkia juzi eneo la Chalinze. Taarifa nyingine kwenye magazeti ya leo ni kuhusu ushauri wa Makamu wa Rais dkt Philipo Mpango kuhusu huduma za fedha. Kwenye… Continue reading MAGAZETI YA LEO 4 AGOSTI 2023

Please disable your adblocker or whitelist this site!

         banner