JENERALI VENANCE MABEYO ASIMULIA MAGUFULI ALICHOMWAMBIA KABLA YA UMAUTI

NYOTA WETU Mkuu wa Majeshi Mstaafu Jenerali Venance Mabeyo amesema siku moja kabla ya kifo cha Hayati John J. Magufuli, alimwita na kumwambia anajua hawezi kupona na hivyo awaagize Madaktari wamrudishe nyumbani kwake. Mabeyo amesema “Aliniita CDF njoo, siwezi kupona, waamuru hawa Madaktari wanirudishe nyumbani. Nikamjibu Mheshimiwa sina Mamlaka hayo, suala la Afya sio la… Continue reading JENERALI VENANCE MABEYO ASIMULIA MAGUFULI ALICHOMWAMBIA KABLA YA UMAUTI

Please disable your adblocker or whitelist this site!

         banner