HAMARI TRAORÈ AFUNGIWA NA CAF

MICHEZO CAF imemfungia mchezaji wa timu ya Taifa ya Mali beki kisiki, Hamari Traoŕe michezo minne kufuatia kuonyesha utovu wa nidhamu dhidi ya mwamuzi aliyechezesha mechi kati ya Côte d’ivoire dhidi ya Mali kwenye Mashindano ya Mataifa ya Afrika nchini Côte d’ivoire. Pia, Shirikisho la mpira wa miguu Mali limetozwa kiasi cha dola 10,000 huku… Continue reading HAMARI TRAORÈ AFUNGIWA NA CAF

WAFUTA KIFARANSA KAMA LUGHA YAO YA TAIFADiscoverCars.com

HABARI KUU Nchini Burkina Faso, utawala wa mpito unaoongozwa na Ibrahim Traore umepitisha muswada wa marekebisho ya katiba na hivyo kutangaza lugha zao za ndani kuwa lugha zao rasmi baada ya sasa Kifaransa kushushwa hadhi rasmi kuwa “lugha ya kazi”. Ripoti ya Baraza la Mawaziri inabainisha kuwa muswada huu “ni sehemu mojawapo ya utekelezaji wa… Continue reading WAFUTA KIFARANSA KAMA LUGHA YAO YA TAIFADiscoverCars.com

Please disable your adblocker or whitelist this site!

         banner