MWAMUZI BEIDA DAHANE APATA ULAJI FIFA

MICHEZO Shirikisho la Soka la Kimataifa (FIFA) limemteua mwamuzi Beida Dahane aliyechezesha mchezo kati ya Young Africans Sc dhidi ya Mamelodi Sundowns kuchezesha michezo ya soka ya mashindano ya Olimpiki itakayofanyika Ufaransa kuanzia Julai 26 hadi Agosti 11, mwaka huu. Dahane (32) ambaye alisimamia mchezo huo ulioishuhudia Yanga ikiondolewa kwenye hatua ya robo fainali kwa… Continue reading MWAMUZI BEIDA DAHANE APATA ULAJI FIFA

YOUNG AFRICANS NA MAMELODI SUNDOWNS NI SARE

MICHEZO Yanga imeonyesha sio wanyonge baada ya kuwadhibiti Mamelodi Sundowns leo kwenye mchezo wa robo fainali ya Ligi ya Mabingwa Afrika uliopigwa kwenye Uwanja wa Mkapa licha ya kutoka suluhu ya 0-0. Ili Yanga kutinga nusu fainali ya michuano hiyo inahitaji kupata ushindi kwenye mechi ya marudiano ugenini nchini Afrika Kusini, April 5, 2024. Yanga… Continue reading YOUNG AFRICANS NA MAMELODI SUNDOWNS NI SARE

SABABU ZA MAMELODI SUNDOWNS KUWA TISHIO KWENYE LIGI YA MABINGWA AFRIKA

MICHEZO Mamelodi Sundowns ya Afrika Kusini ndiyo wapinzani wa Yanga SC kwenye Hatua ya Robo Fainali ya Ligi ya Mabingwa Afrika. Sundowns mpaka sasa ndiye kinara kwenye msimamo wa ligi kuu ya nchini humo akiwa amecheza michezo 18, ameshinda 14, sare nne, hajapoteza mchezo na amekusanya alama 46 pia amewazidi alama 13 na ‘anaviporo’ viwili… Continue reading SABABU ZA MAMELODI SUNDOWNS KUWA TISHIO KWENYE LIGI YA MABINGWA AFRIKA

Please disable your adblocker or whitelist this site!

         banner