WHY YOU ARE FRUSTRATING IN MARRIAGE

IF YOU ARE NOT READY TO BE PATIENT, MARRIAGE WILL FRUSTRATE YOU

MANCHESTER CITY KUMPA MKONO WA KWAHERI JACK GREALISH

MICHEZO Mabingwa wa Soka nchini England Manchester City huenda ikamuachia winga wao Jack Grealish, katika dirisha lijalo la majira ya kiangazi kwa ajli ya kupata pesa itakazozitumia kufanya usajili wa mastaa mbalimbali inaowahitaji katika dirisha lijalo. Grealish amekuwa hapati nafasi ya kutosha kwenye kikosi cha kwanza cha Man City. Mkataba wake wa sasa unatarajiwa kumalizika… Continue reading MANCHESTER CITY KUMPA MKONO WA KWAHERI JACK GREALISH

MASON GREENWOOD NA MANCHESTER UNITED MAMBO NI SAFI

MICHEZO Mastaa wa Manchester United wameripotiwa kufungua milango kwa mchezaji mwenzao, Mason Greenwood kurudi kuichezea timu hiyo ya Old Trafford. Mshambuliaji huyo mwenye umri wa miaka 22, alikuwa na hofu huenda maisha yake ya kuichezea Man United yamefika mwisho baada ya kutolewa kwa mkopo huko Getafe ya Hispania, kutokana na sakata lake la kesi ya… Continue reading MASON GREENWOOD NA MANCHESTER UNITED MAMBO NI SAFI

KLOPP AMALIZANA NA GUARDIOLA

MICHEZO Pambano la mwisho kati ya Pep Guardiola na Jurgen Klopp kwenye Ligi Kuu England limemalizika kwa sare ya 1-1 katika dimba la Anfield. FT: Liverpool 1-1 Manchester City⚽ Mac Allister (P) 50′⚽ John Stones 23 Hili ni pambano la 30 kati ya Klopp na Pep Guardiola ambapo Mjerumani huyo ameshinda mara 12, Mhispania akishinda… Continue reading KLOPP AMALIZANA NA GUARDIOLA

MANCHESTER CITY YAICHAPA MANCHESTER UNITED

MICHEZO Manchester City wameitembezea kichapo cha 3-1 majirani zao wa Manchester United kwenye mchezo wa ‘Derby’ ya Manchester kwenye ligi kuu ya kandanda nchini England. Ushindi huo umeifanya City kuendeleza mbio zao za kuwania taji la ligi hiyo wakifikisha alama 62 baada ya michezo 27 wakiwa alama moja nyuma ya vinara Liverpool.

ANTHONY MARTIAL KUONDOKA MANCHESTER UNITED

MICHEZO Mshambuliaji wa Man Utd, Anthony Martial ataondoka kwenye kikosi hicho katika dirisha lijalo la majira ya kiangazi ambapo mkataba wake utamalizika na Man United imekataa kutumia kipengele cha kuurefusha mkataba huo kwa mwaka mmoja zaidi. Martial mwenye umri wa miaka 28, alidaiwa kuwa angeondoka tangu Januari mwaka huu ambapo Marseille, Fernebanhce na timu kibao… Continue reading ANTHONY MARTIAL KUONDOKA MANCHESTER UNITED

STAN BOWLES AFARIKI DUNIA

HABARI KUU Nyota wa zamani wa QPR, Manchester City na Timu ya Taifa England, Stan Bowles amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 75 baada ya kuugua kwa muda mrefu ugonjwa wa ‘Alzheimer’ Bowles ambaye alikuwa mmoja wa vipaji bora nchini England wakati wake kama mchezaji aligundulika na ugonjwa wa neva mnamo 2015. Taarifa iliyotolewa… Continue reading STAN BOWLES AFARIKI DUNIA

MANCHESTER CITY MABINGWA WAPYA WA DUNIA

MICHEZO Klabu ya Manchester city ya England imetwaa ubingwa wa vilabu bingwa wa Dunia baada ya kuwachapa Mabingwa wa Amerika Kusini klabu ya Fluminense ya nchini Brazil 🇧🇷 kwa jumla ya 4-0. Manchester city imetwaa jumla ya makombe 5 ndani ya mwaka 2023 kwa kuzoa makombe ya Magoli ya Manchester City yamewekwa nyavuni na Alvarez… Continue reading MANCHESTER CITY MABINGWA WAPYA WA DUNIA

Please disable your adblocker or whitelist this site!

         banner