ANTONIO CONTE KWENYE RADA ZA FC BAYERN MUNICH

MICHEZO Miamba ya soka nchini Ujerumani FC Bayern Munich imeripotiwa kuwa na mpango wa kumchagua Antonio Conte kuwa kocha wao mpya, imeelezwa. Kocha huyo kutoka nchini Italia amekuwa hana kazi tangu Machi mwaka jana alipofutwa kazi Tottenham. Lakini, anaweza kushawishika na nafasi hiyo ya kwenda kufanya kazi Ujerumani kwa mara ya kwanza kutokana na Bayern… Continue reading ANTONIO CONTE KWENYE RADA ZA FC BAYERN MUNICH

CAFCL ROBO FAINALI:YANGA VS MAMELODI,SIMBA VS AL AHLY

MICHEZO Klabu ya Yanga SC itakutana na Klabu ya Mamelodi Sundowns kutoka Afrika Kusini kwenye mchezo wa Robo Fainali ya Klabu Bingwa Afrika Katika Droo iliyochezeshwa leo, Mtani wa Jadi wa Yanga, Klabu ya Simba SC imepangiwa kuvaana na Klabu ya Al Ahly FC kutoka Misri Aidha, Klabu ya TP Mazembe itakutana na Klabu ya… Continue reading CAFCL ROBO FAINALI:YANGA VS MAMELODI,SIMBA VS AL AHLY

JAVIER TEBAS ATAKA MASON GREENWOOD KUSALIA LALIGA

MICHEZO Rais wa Ligi Kuu ya Hispania ‘La Liga’ Javier Tebas anataka Mshambuliaji wa Manchester United, Mason Greenwood abaki nchini humo mara baada ya mkopo wake wa msimu mzima katika klabu ya Getafe utakapomalizika. Greenwood mwenye umri wa miaka 22, alijiunga na kikosi cha Madrid akitokea United Septemba mwaka jana baada ya mshambuliaji huyo wa… Continue reading JAVIER TEBAS ATAKA MASON GREENWOOD KUSALIA LALIGA

DANNY DRINKWATER AKUBALI YAISHE

NYOTA WETU Kiungo wa zamani wa Manchester United, Leicester City na Chelsea, Danny Drinkwater ametundika daluga akiwa na umri wa miaka 32. Danny Drinkwater aliyeanzia kalia yake ya kusakata kandanda kwenye Academy ya vipaji ya Manchester United alikuwa mmoja wa nyota wa Leicester City tegemeo waliochukuwa ubingwa kwa kushangaza wengi kwenye ligi ya England msimu… Continue reading DANNY DRINKWATER AKUBALI YAISHE

TEN HAG NA SANCHO WAGOMBANA

London Winga #JadonSancho amedai sio kweli kuwa amekuwa hapati nafasi ya kucheza kwenye kikosi cha #ManchesterUnited kwasababu hajaonesha kiwango kizuri kama kocha wake, Erick Ten Hag alivyonukuliwa,bali hivyo ni visingizio dhidi yake. Kabla ya kichapo cha jana cha 3-2 dhidi ya Arsenal, Ten Hag alisema Sancho hajaonesha kiwango kizuri mazoezini ndio maana hakuwepo katika mipango… Continue reading TEN HAG NA SANCHO WAGOMBANA

FAMILIA YA GLAZER YAKATAA KUIUZA MANCHESTER UNITED

London Wamiliki hao wa klabu hiyo ya England wanatarajiwa kufuta mpango wa kuuza timu hiyo wakidai kuwa wawekezaji hawajafikia kiwango cha bei ambacho wanakitaka hili kuiachia klabu,ambapo wao wanataka Pauni Bilioni 10 . Ikiwa uamuzi huo utafanyika unaweza kuibua hasira za baadhi ya mashabiki wa United ambao wamekuwa wakiamini Familia ya Glazer ni chanzo cha… Continue reading FAMILIA YA GLAZER YAKATAA KUIUZA MANCHESTER UNITED

Please disable your adblocker or whitelist this site!

         banner