WHY YOU ARE FRUSTRATING IN MARRIAGE
IF YOU ARE NOT READY TO BE PATIENT, MARRIAGE WILL FRUSTRATE YOU Communication requires listening and listening requires you to be patient. You have two ears and one mouth because…
IF YOU ARE NOT READY TO BE PATIENT, MARRIAGE WILL FRUSTRATE YOU Communication requires listening and listening requires you to be patient. You have two ears and one mouth because…
MICHEZO Klabu ya Manchester United imewekeza nguvu kubwa zaidi kwenye mchakato wa kuipata saini ya winga wa Crystal Palace na Ufaransa, Michael Olise, kuelekea dirisha lijalo la majira ya kiangazi.…
MICHEZO
Klabu za AC Milan na Juventus zinaangalia uwezekano wa kumsajili kiungo wa Fiorentina na Morocco, Sofyan Amrabat ambaye kwa sasa anaichezea Manchester United kwa mkopo.
Hadi sasa Man United haijaonyesha nia ya kutaka kumsainisha mkataba wa kudumu Amrabat aliyejiunga nao katika dirisha lililopita la majira ya baridi.
Amrabat alijiunga na Man United kwa mkopo uliokuwa na ada ya Euro 9 milioni na kuna kipengele cha kumnunua mazima kwa Euro 25 milioni.
Juventus ndio imeripotiwa kuwa ya kwanza kutaka kumsajili staa huyu lakini Milan nayo imeibuka katika siku za hivi karibuni, na ndio inaonekana kuwekeza nguvu kubwa zaidi.
Milan inataka kumsajili Amrabat kwa sababu inapitia changamoto eneo lao la kiungo hususani katika upande wa kuzuia.
Amrabat alitua Man United baada ya mashetani hao wekundu kushinda vita dhidi ya Barcelona.
Tangu atue Man Utd, kiungo huyu amecheza mechi 22 za michuano yote na Mkataba wake wa sasa unatarajiwa kumalizika mwaka 2025.
(more…)
NYOTA WETU Ripoti zinasema kuwa mchezaji kandanda wa zamani Robinho alikamatwa huko Santos, Brazil, baada ya Mahakama ya juu kukataa ombi lake la kuachiliwa Alhamisi ili kutumikia kifungo chake cha…
MICHEZO Ripoti ya UEFA imesema kikosi cha Manchester United cha mwaka jana ndio cha gharama zaidi kuwahi kuundwa katika soka. Taarifa ya taswira ya fedha na uwekezaji ya vilabu vya…
MICHEZO Wachezaji 13 wa Manchester United wapo kwenye hatari ya kutokucheza mechi kati yao na Liverpool mnamo Desemba 17,2023 huku sababu zikieleza kuwa ni majeraha. Kocha wa Manchester United, Eric…
MICHEZO Kwenye mechi ya jana ya UEFA Champions League, Bruno Fernández aligusa mpira mara 60 na kutoa pasi tatu muhimu pamoja na pasi nne ndefu ,pia alishinda mipira 5 ya…