NYOTA WETU Jaji wa shindano la BSS , Rita Poulsen baada ya kuweka wazi kwamba hana mpenzi,sasa ni rasmi orodha ni kubwa kwasasa ya wanaume wanaomhitaji. Leo ameweka wazi kwamba baada ya kuweka wazi hana mpenzi kwenye kituo cha TBC basi amepata orodha ya jumbe nyingi kwenye mitandao yake ya kijamii ya wanaume ambao wako… Continue reading MADAM RITA KWENYE MAOMBI YA NDOA
Tag: #mapenzi #mke #mme
JE KUONEANA WIVU NI SEHEMU YA MAPENZI?
Makala Fupi Mapenzi yananoga wivu unapokuwa ndani yake. Ukitathimini kwa harakaharaka ,unaweza kusema kama hakuna wivu ,hakuna mapenzi. Inapotokea mpenzi wako, hata ufanye nini hakuonei wivu,bila Shaka hata wewe utahisi kuna tatizo. Unatamani kale “kawivu” kidogo ili ujisikie unapendwa. Maana,tafsiri nyingine ya mtu asiyekuwa na wivu,huwa ni ile ya “wewe fanya yako, na mimi nifanye… Continue reading JE KUONEANA WIVU NI SEHEMU YA MAPENZI?