SAKILU AVUNJA REKODI YA MTANZANIA

MICHEZO Mwanariadha wa Tanzania Jackline Sakilu ameshika nafasi ya tatu katika mbio za nusu marathoni za Ras AlKhaimah zilizofanyika leo Februari 24, 2024 huko Falme za Kiarabu na kuvunja rekodi iliyowekwa na mwenzake, Magdalena Shauri miaka minne iliyopita. Katika mbio hizo Sakilu alikimbia kwa muda wa 1:06:04 ambao umemfanya aweke rekodi ya taifa na kuvunja… Continue reading SAKILU AVUNJA REKODI YA MTANZANIA

Please disable your adblocker or whitelist this site!

         banner