16 TEXTS EVERY MAN WISHES HIS WIFE OR WOMAN WOULD SEND HIM DiscoverCars.com

LOVE ❤

MANCHESTER UNITED YAICHAPA LIVERPOOL IKITINGA NUSU FAINALI YA FA

MICHEZO Manchester United imetinga nusu fainali ya kombe la FA England kufuatia ushindi wa 4-3 dhidi ya Liverpool katika dimba la Old Trafford kwenye robo fainali. FT: MAN UTD 2-2 LIVERPOOL (ET 4-3)⚽ McTominay 10′⚽ Antony 87′⚽ Rashford 112′⚽ Amad 120+2′⚽ Mac Allister 44′⚽ Salah 45+2′⚽ Elliott 105′ United imeungana na Manchester City, Chelsea na… Continue reading MANCHESTER UNITED YAICHAPA LIVERPOOL IKITINGA NUSU FAINALI YA FA

DE BRUYNE NA MANCHESTER CITY BADO NGOMA NZITO

MICHEZO Mabosi wa Manchester City wamesitisha mazungumzo na wawakilishi wa kiungo Kevin de Bruyne yaliyokuwa na lengo la kumsainisha mkataba mpya wa kuendelea kuitumikia timu hiyo. Mazungumzo hayo yamesitishwa kwa kile kinachoelezwa wanaweka umakini zaidi kwenye mechi za timu hiyo katika michuano mbalimbali. De Bruyne mwenye umri wa miaka 32, mkataba wake wa sasa unatarajiwa… Continue reading DE BRUYNE NA MANCHESTER CITY BADO NGOMA NZITO

Mabingwa wa Soka nchini Ufaransa Paris Saint-Germain wanaanda zaidi ya Pauni 80 milioni kwa ajili ya kutuma ofa kwenda Manchester United ili kuipata saini ya Mshambuliaji wa timu hiyo na England, Marcus Rashford katika dirisha lijalo la majira ya kiangazi.

Inaelezwa kuwa, mabosi wa PSG wanataka kumchukua fundi huyu ikiwa ni sehemu ya kuziba pengo la Mshambuliaji wao Kylian Mbappe ambaye ataondoka mwisho wa msimu huu. Mbali ya ofa hiyo, pia PSG imepanga kumpa mshahara wa zaidi ya Pauni 500,000 kwa juma, ili kumshawishi zaidi akubali kujiunga nao. Mkataba wa sasa wa staa huyu unatarajiwa… Continue reading Mabingwa wa Soka nchini Ufaransa Paris Saint-Germain wanaanda zaidi ya Pauni 80 milioni kwa ajili ya kutuma ofa kwenda Manchester United ili kuipata saini ya Mshambuliaji wa timu hiyo na England, Marcus Rashford katika dirisha lijalo la majira ya kiangazi.

RASHFORD APIGWA NA MPENZI WAKE HOTELINI

NYOTA WETU Marcus Rashford wa Manchester United alizozana na mpenzi wake Mfaransa baada ya kulewa huko Belfast, hatua iliomtoa nje ya chumba cha hoteli walikokuwa wamelala. Siku ya Januari 25,2024 majira ya saa tisa alfajiri katika hoteli ya nyota tano huko Ireland Kaskazini, tukio hilo lilitokea . Inaelezwa kuwa Rashford alikerwa na kuzitupa nguo za… Continue reading RASHFORD APIGWA NA MPENZI WAKE HOTELINI

Please disable your adblocker or whitelist this site!

         banner